kyalankota
JF-Expert Member
- Jul 27, 2014
- 2,594
- 1,462
Wachunguzwe na necta nahisi watakuwa wameiba na mtihani!!Ukiwa chini ya mwizi lazima na ww utakuwa na tabia za wizi!!
Umekosea kuandika kichwa cha huu uzi ungeandika hivi Sekondari ya mpiga pesa za ESCROW Tibaijuka, imeongoza.
Historia ya matokeo na ufaulu wa shule hiyo kwa miaka iliyopita upoje?!
Umekosea kuandika kichwa cha huu uzi ungeandika hivi Sekondari ya mpiga pesa za ESCROW Tibaijuka, imeongoza.
Nimecopy na kupaste JamboLeo
Humjui Ritz vizuri pitia michango yangu kwenye sakata la ESCROW utajua msimamo wangu.Duh! Makubwa haya. Hata wewe umeshamtosa jembe la Kikwete? Bado jembe jingine Pro.Muongo naye utamtosa siku sii nyingi naye akishamwagwa
Humjui Ritz vizuri pitia michango yangu kwenye sakata la ESCROW utajua msimamo wangu.
Msimamo wangu upi? Lini mimi na wewe tuliongea kuhusu msimamo wangu naona unahangaika na Ritz nimekuambia pitia post zangu kwenye sakata la ESCROW utajua msimamo wangu.Lakini umemtaja Tibaijuka kama mpiga pesa za Escrow. Sasa atapigaje fedha ambazo sio za UMMA kama msimamo wako ulivyokuwa? Kama sio za umma basi hajapiga ila kapewa na mwenyewe ambaye ni mmiliki wa IPTL. Kama kapiga basi tukubaliane kuwa fedha zile ni za umma hata kama sio zote.