Sekondari iliyopata mgawo wa ESCROW yaongoza

Umekosea kuandika kichwa cha huu uzi ungeandika hivi Sekondari ya mpiga pesa za ESCROW Tibaijuka, imeongoza.
Kwa mtindo huu shule zetu za bakwata zitafanya vizuri kweli?
 
Wachunguzwe na necta nahisi watakuwa wameiba na mtihani!!Ukiwa chini ya mwizi lazima na ww utakuwa na tabia za wizi!!

Wameiba na mtihani ili wapate socialempathy kwamba wako wanafanya kazi nzuri pamoja na tuhuma za scandal wanazopewa! Hivyo kufuatia matokeo hayo wasinyooshewe vidole kwa sana! Ni mkakati wa kupoza hasira za Wananchi!
 
Kwa shule za viongozi kama hawa lazima zichunguzwe ktk matokeo kwani wana uwezo wa kupanga matokeo kwa kuwahonga hao wasimamizi wote na wakatoa majibu kwa wanafunzi ili kumjenga mwenye shule.

Kabisa! Tena kwa hela za Escrow hili linawezekana bila kuacha chembe ya mashaka!
 
Duh! Makubwa haya. Hata wewe umeshamtosa jembe la Kikwete? Bado jembe jingine Pro.Muongo naye utamtosa siku sii nyingi naye akishamwagwa



Huyu jamaa ni muelewa tofauti na msalani
 
Last edited by a moderator:
CBC .d
.yggbbnhrbn. . b lvrbbrrnjhjjjjjjjhjhhhjhhttt5tt
TttD
Sddscf
 
Ni sekondari ya Barbro Johansson inayomilikiwa na prof. Anna Tibaijuka, imeongoza kwa ufaulu wa somo la hesabu kidato cha pili kwa upande wa wasichana kitaifa.
Source : JamboLeo

Acheni ushabiki wa siasa usiokuwa na maana. Shule Mfano ya Wasichana ya Barbro imekuwa miongoni mwa shule bora tangu kuasisiwa kwake.
Tisichamganye mambo. Wazazi wanaopeleka watoto wao kusoma Barbro huwa wanafanya uchaguzi (choice). Udahili wa wanafunzi kwa vidato vya kwanza na tano unapatikana kwa ushindani mkali. Iwapo Barbro kuna distinctive performance basi tuamini kuwa walistahili kwa kuwa shule ilifanya maadalizi stahiki kitaalima.
 

Shabiki nani sasa! JamboLeo au aliyenukuu gazeti hilo?
 

Unaonekana wewe ni mwana barblro.suala la wizi wa mitihani sio suala kisiasa bali uhalifu wa kimfumo.
Usiwe unakwepa maswali magumu kwa majibu rahisi kwa kukimbilia siasa.
Wewe ingia mtandaoni tuwekee matokeo ya shule hii kwa mihula walau mitatu tu.
Na watu watakuelewa vizuri.
Vinginevyo watu watakuhisi kama sehemu ya usafishaji huu. Ahsante
 
Kwa ule mgao ana uwezo wa kuinunua NECTA.
 

I defend no body. You bear the onus to prove your allegations. Barbro, Canossa, Marian, St. Francis are but a group of high performing girls’ secondary schools in Tanzania. You need to be privy to these issues with necessary facts and evidence before pouring unfound allegations.
 
Kuhusu ufauli ni tangu siku nyingi kabla hata ya richmond iyo shule inaongoza
 

Kwahyo misamiati ya KISWAHILI imeyeyuka ghafla?? WEZI NINYI.
 
Ada ya mwaka katika shule hii ikoje, walimu wanalipwaje, na kiwango cha ufaulu anachoruhusiwa mwanafunzi kujiunga ni vitu muhimu kuviangalia!
 
Sometimes huwa sizielewi akili zenu. Sijui mnajitoa ufahamu. Hivi hao watoto mnawahukumu kwa kosa lipi? Je! Wanajua yanayoendelea kwenye siasa? Mtoto kuongoza somo fulani sio issue ya pesa, ni namna alivyoandaliwa na alivyojiandaa. Mimi mtihani wa form 2 Civics nilipata alama 98 na kuwa wa kwanza. Tusiwavunje mioyo kwa arguments za kipumbavu.
 

Matusi si sehemu ya mjadala.bali wa kulaumiwa hapa ni mmiliki anayetumia fedha haramu kwa kuendeshea biashara ya shulena kwa wenzetu tunaowaiga ustaarabu.mpaka sasa shule hii ingekuwa imebaki empty.

Kule wanajua maana ya scandal..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…