BONGOLALA
JF-Expert Member
- Sep 14, 2009
- 16,508
- 11,897
Kwa mtindo huu shule zetu za bakwata zitafanya vizuri kweli?Umekosea kuandika kichwa cha huu uzi ungeandika hivi Sekondari ya mpiga pesa za ESCROW Tibaijuka, imeongoza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa mtindo huu shule zetu za bakwata zitafanya vizuri kweli?Umekosea kuandika kichwa cha huu uzi ungeandika hivi Sekondari ya mpiga pesa za ESCROW Tibaijuka, imeongoza.
Wachunguzwe na necta nahisi watakuwa wameiba na mtihani!!Ukiwa chini ya mwizi lazima na ww utakuwa na tabia za wizi!!
Hivi Bakwata wana shule kweli?Kwa mtindo huu shule zetu za bakwata zitafanya vizuri kweli?
Kwa shule za viongozi kama hawa lazima zichunguzwe ktk matokeo kwani wana uwezo wa kupanga matokeo kwa kuwahonga hao wasimamizi wote na wakatoa majibu kwa wanafunzi ili kumjenga mwenye shule.
Kwa mtindo huu shule zetu za bakwata zitafanya vizuri kweli?
Ni sekondari ya Barbro Johansson inayomilikiwa na prof. Anna Tibaijuka, imeongoza kwa ufaulu wa somo la hesabu kidato cha pili kwa upande wa wasichana kitaifa.
Source : JamboLeo
Acheni ushabiki wa siasa usiokuwa na maana. Shule Mfano ya Wasichana ya Barbro imekuwa miongoni mwa shule bora tangu kuasisiwa kwake.
Tisichamganye mambo. Wazazi wanaopeleka watoto wao kusoma Barbro huwa wanafanya uchaguzi (choice). Udahili wa wanafunzi kwa vidato vya kwanza na tano unapatikana kwa ushindani mkali. Iwapo Barbro kuna distinctive performance basi tuamini kuwa walistahili kwa kuwa shule ilifanya maadalizi stahiki kitaalima.

Unaonekana wewe ni mwana barblro.suala la wizi wa mitihani sio suala kisiasa bali uhalifu wa kimfumo.
Usiwe unakwepa maswali magumu kwa majibu rahisi kwa kukimbilia siasa.
Wewe ingia mtandaoni tuwekee matokeo ya shule hii kwa mihula walau mitatu tu.
Na watu watakuelewa vizuri.
Vinginevyo watu watakuhisi kama sehemu ya usafishaji huu. Ahsante
I defend no body. You bear the onus to prove your allegations. Barbro, Canossa, Marian, St. Francis are but a group of high performing girls secondary schools in Tanzania. You need to be privy to these issues with necessary facts and evidence before pouring unfound allegations.
Umekosea kuandika kichwa cha huu uzi ungeandika hivi Sekondari ya mpiga pesa za ESCROW Tibaijuka, imeongoza.
Sometimes huwa sizielewi akili zenu. Sijui mnajitoa ufahamu. Hivi hao watoto mnawahukumu kwa kosa lipi? Je! Wanajua yanayoendelea kwenye siasa? Mtoto kuongoza somo fulani sio issue ya pesa, ni namna alivyoandaliwa na alivyojiandaa. Mimi mtihani wa form 2 Civics nilipata alama 98 na kuwa wa kwanza. Tusiwavunje mioyo kwa arguments za kipumbavu.