Tuliajiriwa watu 4 wilaya moja ambayo ni kijijini mno watatu walikuwa ni wanawake
Ajabu ni kwamba hakuna aliyeripoti kwenye wilaya tuliyopangiwa zaidi yangu
Cha kushangaza wote majina yao yakatokea kwenye list nyingine iliyotoka siku mbili mbele wote wamebadilishwa mkoa wawili wameajiriwa Dar es Salaam mwingine Dodoma
Uhuni wa sekreratariet ya ajira ndo huo, unaweza ukawa unajiuliza kwanini mchakato wa ajira huwa unachukua muda mrefu kumbe hapa katikati kuna mianya ya rushwa inatengenezwa.