Sasa wewe umepata kazi uliyosotea muda mrefu tena peke yako, unakuja kulalama wenzio hawaja ripoti, hao wanakuhusu nini? Unawajua??
Huoni kuwa huko kijijini ndiyo kuna fursa za kipato nje ya mshahara kwa mtumishi kama wewe!!?? Huoni kuwa wenzio hawaja ripoti kwa kuwa siyo maskini wenzioo ndiyo maana hawa jaenda huko kijijini kwa hiyo wewe ume bahatika...
Huoni wewe ni mwanaume lazima uwe na utofauti, Huoni hiyo ajira wangapi wameikosa wewe umepata unalilia kama umekalia uboo..
Acha kulialia na kuandika ujinga, ukiwa hivyo unatia hofu hata kazi uliyopewa kuifanya kwa uadilifu..