Serikali nayo ni chaka la wala rushwatuliajiriwa watu 4 wilaya moja ambayo ni kijijini mno watatu walikua ni wanawake
ajabu ni kwamba hakuna aliyeripoti kwenye wilaya tuliyopangiwa zaid yangu
cha kushangaza wote majina yao yakatokea kwenye list nyingine iliyotoka siku mbili mbele wote wamebadilishwa mkoa wawili wameajiriwa dar es salaam. mwingine dodoma
uhuni wa sekreratariet ya ajira ndo huo. unaweza ukawa unajiuliza kwa nini mchakata wa ajira hua unachukua muda mrefu kumbe hapa katikat kuna mianya ya rushwa inatengenezwa .
tuliajiriwa watu 4 wilaya moja ambayo ni kijijini mno watatu walikua ni wanawake
ajabu ni kwamba hakuna aliyeripoti kwenye wilaya tuliyopangiwa zaid yangu
cha kushangaza wote majina yao yakatokea kwenye list nyingine iliyotoka siku mbili mbele wote wamebadilishwa mkoa wawili wameajiriwa dar es salaam. mwingine dodoma
uhuni wa sekreratariet ya ajira ndo huo. unaweza ukawa unajiuliza kwa nini mchakata wa ajira hua unachukua muda mrefu kumbe hapa katikat kuna mianya ya rushwa inatengenezwa .
uzuri list ninayo ukitak nakutumiaKama kweli weka hiyo mikeka miwili tofauti tuione UNLESS wewe ni LIER una wakandia PSRS .
acha Konakona umeshambiwa weka hapauzuri list ninayo ukitak nakutumia
Be careful, utajichoma.uzuri list ninayo ukitak nakutumia
TCRA, Tanzania Gaming Board na Regulatory Authorities wote ni wala rushwaTuliajiriwa watu 4 wilaya moja ambayo ni kijijini mno watatu walikuwa ni wanawake
Ajabu ni kwamba hakuna aliyeripoti kwenye wilaya tuliyopangiwa zaidi yangu
Cha kushangaza wote majina yao yakatokea kwenye list nyingine iliyotoka siku mbili mbele wote wamebadilishwa mkoa wawili wameajiriwa Dar es Salaam mwingine Dodoma
Uhuni wa sekreratariet ya ajira ndo huo, unaweza ukawa unajiuliza kwanini mchakato wa ajira huwa unachukua muda mrefu kumbe hapa katikati kuna mianya ya rushwa inatengenezwa.
kwa iyo wewe hua unalia wakati umekalia ulichotajaSasa wewe umepata kazi uliyosotea muda mrefu tena peke yako, unakuja kulalama wenzio hawaja ripoti, hao wanakuhusu nini? Unawajua??
Huoni kuwa huko kijijini ndiyo kuna fursa za kipato nje ya mshahara kwa mtumishi kama wewe!!?? Huoni kuwa wenzio hawaja ripoti kwa kuwa siyo maskini wenzioo ndiyo maana hawa jaenda huko kijijini kwa hiyo wewe ume bahatika...
Huoni wewe ni mwanaume lazima uwe na utofauti, Huoni hiyo ajira wangapi wameikosa wewe umepata unalilia kama umekalia uboo..
Acha kulialia na kuandika ujinga, ukiwa hivyo unatia hofu hata kazi uliyopewa kuifanya kwa uadilifu..
we pumbavu kweli unadhan me muoga kama wrweBe careful, utajichoma.
unaonekana hujielewacha Konakona umeshambiwa weka hapa
Kama huogopi weka hapa hizo mikeka tuzione.we pumbavu kweli unadhan me muoga kama wrwe
Wahuni wanaita majina Kwa ajili ya interview wakiwa na majina Yao tayari. Halafu wenye majina Yao wanaanza kuwapelekesha. Serikali ya wahuni haiishiwi vitukoTuliajiriwa watu 4 wilaya moja ambayo ni kijijini mno watatu walikuwa ni wanawake
Ajabu ni kwamba hakuna aliyeripoti kwenye wilaya tuliyopangiwa zaidi yangu
Cha kushangaza wote majina yao yakatokea kwenye list nyingine iliyotoka siku mbili mbele wote wamebadilishwa mkoa wawili wameajiriwa Dar es Salaam mwingine Dodoma
Uhuni wa sekreratariet ya ajira ndo huo, unaweza ukawa unajiuliza kwanini mchakato wa ajira huwa unachukua muda mrefu kumbe hapa katikati kuna mianya ya rushwa inatengenezwa.
Duuuh...! Mkuu uboo tena...!!!Sasa wewe umepata kazi uliyosotea muda mrefu tena peke yako, unakuja kulalama wenzio hawaja ripoti, hao wanakuhusu nini? Unawajua??