Kama wewe ni mmoja ya hao wala rushwa kwenye hiyo taasisi au umewahi kunufaika na mfumo corrupted wa hiyo secretariat ya ajira, lazima utatetea na mara nyingi nyie watetezi wa rushwa na ufisadi huwa mnajificha kwenye kivuli cha kuomba ushaidi.. kwa sababu mnajua watanzania sio watu wakukusanya kusanya ushaidi wa matukio kama hayo zaidi ya kuongea tu.Kama kweli weka hiyo mikeka miwili tofauti tuione UNLESS wewe ni LIER una wakandia PSRS .
Umeandika upumbavu mtupu hili kumbeza mleta mada aonekane kaandika kitu cha kijinga... ila in real sense wewe ndio umeandika ujinga tena wa hali ya juu sana ukijaribu kufunika mfumo wa rushwa na kujuana kwingi uliopo kwenye hiyo taasisiSasa wewe umepata kazi uliyosotea muda mrefu tena peke yako, unakuja kulalama wenzio hawaja ripoti, hao wanakuhusu nini? Unawajua??
Huoni kuwa huko kijijini ndiyo kuna fursa za kipato nje ya mshahara kwa mtumishi kama wewe!!?? Huoni kuwa wenzio hawaja ripoti kwa kuwa siyo maskini wenzioo ndiyo maana hawa jaenda huko kijijini kwa hiyo wewe ume bahatika...
Huoni wewe ni mwanaume lazima uwe na utofauti, Huoni hiyo ajira wangapi wameikosa wewe umepata unalilia kama umekalia uboo..
Acha kulialia na kuandika ujinga, ukiwa hivyo unatia hofu hata kazi uliyopewa kuifanya kwa uadilifu..
Pole sana mkuu ila utazoea tuu 😂Wahuni wanaita majina Kwa ajili ya interview wakiwa na majina Yao tayari. Halafu wenye majina Yao wanaanza kuwapelekesha. Serikali ya wahuni haiishiwi vituko
Dah ww jamaa n haki kupelekwa huko kijijini 😂we pumbavu kweli unadhan me muoga kama wrwe
Pole mkuu umeongea Kwa uchungu Sana .ushaur wangu vumilia Tu huko ulikopangiwa nimewaza patakuwa kigoma TuTuliajiriwa watu 4 wilaya moja ambayo ni kijijini mno watatu walikuwa ni wanawake
Ajabu ni kwamba hakuna aliyeripoti kwenye wilaya tuliyopangiwa zaidi yangu
Cha kushangaza wote majina yao yakatokea kwenye list nyingine iliyotoka siku mbili mbele wote wamebadilishwa mkoa wawili wameajiriwa Dar es Salaam mwingine Dodoma
Uhuni wa sekreratariet ya ajira ndo huo, unaweza ukawa unajiuliza kwanini mchakato wa ajira huwa unachukua muda mrefu kumbe hapa katikati kuna mianya ya rushwa inatengenezwa.