Tetesi: Sekretariet ya Kamati Kuu CHADEMA kufumuliwa

Chadema ishakufa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu sijui kwanini umeamua kufikia conclusion rahisi kwa jambo gumu, unatakiwa kujipa mda zaidi wa kutafakari jambo hili.
  1. Hakuna harakati zakuonekana zilizofanywa na vyama vingine vya upinzani kuishinda chadema kuanzia 2015 baada ya uchaguzi. Kupitia chadema ni msingi, Chadema tumeweza kusajili wanachama zaidi ya milion 7.
  2. Hakuna chama cha upinzani chenye organization bora zaidi ya chadema Tanzania. ebu fikiria katika jimbo moja la uchaguzi lenye wastani wa kata kumi chadema lina viongozi wafuatao;
Kila tawi lina viongozi wasiopungua 10, kwa kata moja iliyo na vijiji vitano chadema ina viongozi 50 plus wengine 10 wa ngazi ya kata inakuwa jumla viongozi 60, hivyo jimbo moja linakuwa na viongozi wa kata zaidi ya 600. Kuna zaidi ya majimbo 264 katika nchi kwa takwimu za 2015 hivyo jumla ya viongozi wa chadema wa matawi, kata na majimbo ni 158,400.

Ebu tazama jinsi kanda 10 za chama zinavyoendeshwa;
  1. Kila kanda ina waajiriwa wasiopungua 4, Wakati vyama vingine havina hata waajiriwa wanaofikia idadi hii kwa ngazi ya taifa. Chukua mfano mdogo tu wa chaguzi za taifa. Chadema ilikuwa na zaidi ya wajumbe 800 wakati ACT ilikuwa na wajumbe wasiozidi 300.
  2. Chadema ndicho chama cha upinzani chenye raslimali watu, vitu na fedha kuliko vingine katika nchi, Potential leaders katika regional level ni sawa na potential leaders katika ngazi ya taifa kwa baadhi ya vyama ndiyo maana hushangazwi na kiongozi wa mkoa cha chadema kupewa nafasi ya taifa katika chama kingine mf. Mwigamba mwenyekiti wa mkoa wa Arusha alikuwa Katibu Mkuu wa ACT, Anna Mughwira mwanachama ambaye hakuwa na nafasi chadema alichaguliwa uenyekiti wa ACT wazalendo.
  3. Chadema ina magari yasiyo pungua 20, kuna vyama vina magari yasiyozidi mawili, chadema ina majengo katika mikoa kadhaa yanayotumika kama ofisi tofauti na vyama vingine visivyo na raslimali majengo au jengo moja tu.
Level iliyofikia chadema katika ujenzi wa chama, itachukua miaka 10 kwa vyama vingine vya upinzani kuifikia
 
Ni taharuki katika viunga vya mitaa ya ufipa, taarifa zisizo rasmi ni kuwa Katibu Mkuu bora zaidi wa Chama Afrika Mh. John John Mnyika anatarajia kufanya mabadiliko makubwa ya think tanks wa chama katika kipindi kisicho zidi wiki moja ijayo. Hii inatokana na msukumo mkubwa uliopo katika kutimiza strategic mission alizozitangaza kwa waandishi wa habari mapema baada ya uteuzi wake.

Kwa kuzingatia mabadiliko yaliyofanywa katika safu ya makatibu wa kanda katika wiki tatu zilizopita ambapo kati ya makatibu 10 ni watatu tu ndiyo waliosalia yaani Masonga wa Nyasa, General Kaduma aliyekuwa wa Magharibi na Golugwa wa Kanda ya Kaskazini. Hali hii ilitokana na viongozi wakuu kutoridhishwa na utendaji wa makatibu wengi wa kanda.

Watonyaji wangu wananiambia ni wakurugenzi wawili tu ndiyo wanaweza rudi kwenye nafasi zao; Ndugu John Mrema na Dr Bujiku. Yapo majina mapya yanatajwa katika uteuzi hu mpya wengi ni vijana waliokitumikia chama kwa mda mrefu sana. Majina haya ni pamoja na Daniel Naftar na CPA Kitalika. Hata hivyo haijadhibitishwa kama hawa watateuliwa kama wakurugenzi au maafisa katika kurugenzi.

Daniel Naftar anatajwa kuwa kipenzi cha Salumu Mwalimu na Benson Kigaila wakati CPA Kitalika hana ukaribu sana na viongozi hawa wakuu lakini jina lake linatajwa haswa kutokana na jinsi wajumbe wengi wa kamati kuu walivyovutiwa na ufundi katika kujieleza na historia katika nafasi mbili alizowahi kukitumikia chama katika ngazi za chini kabisa.

Joseph Kasambala anatajwa kupewa nafasi y a uafisa katika kurugenzi ya habari na uenezi kutokana umashuhuri wake ndani ya chama taifa na katika mikoa mingi ya Tanzania Bara. Kasambala amewahi kuwa mwenyekiti wa Bavicha Jimbo la Mbeya mjini, Mwenyekiti wa Bavicha Mkoa wa Mbeya na Mjumbe wa Baraza kuu kupitia BAVICHA.

CPA Kitalika amewahi kuwa mwenyekiti wa tawi la Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA), mratibu wa CHASO mkoa wa Arusha na mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mkutano wa CHASO Taifa mwaka 2015. Msomi huyu wa ngazi ya juu katika fani ya uhasibu na mwanafunzi wa shahada ya pili ya utawala wa Mashirika (Corporate Management) anatajwa kuwa dosari moja ya kutoshiriki katika shughuli za chama mara kwa mara kutokana na kuwa mwajiriwa katika moja ya taasisi ya fedha jijini Dar es Salaam.

Ikumbukwe kuwa katika vijana watano walioteuliwa na kamati kuu ya Chadema kuwania nafasi ya Katibu Mkuu wa BAVICHA ni wawili tu ndiyo hawapo katika utumishi wa chama mpaka sasa. Ally Hemed na Gwamaka Mbughi wameteuliwa kuwa Makatibu katika kanda za Pwani na Kati mtawalia. Noel Shao na CPA Kitalika hawapo katika utumishi wa chama. Wajuzi w masuala wanasema pengine ni kwasababu wawili hawa wamekuwa hawajihusishi na shughuli za chama moja kwa moja tofauti na ilivyokuwa kwa Hemedi Ally na Gwamaka.

Wengine wapya wanaotajwa katika safu ya makao makuu ni Regnard Massawe ambaye kwa sasa ni Katibu wa chama mkoa wa Arusha na mtu wa karibu wa mbunge Godbless Lema na mmoja wa waliokuwa watia nia wa nafasi ya uenyekiti wa Bavicha Taifa kwa jina la utani Emeka. Reginard massawe amewahimkuwa rais wa serikali ya wanafunzi katika Chuo cha uhasibu Arusha na Spika wa bunge la vijana Tanzania.
Huyo Kitalika umemtaja mara kumi kumi kwwnye hii thread yako, asije kuwa PANDIKIZI LA ZITTO

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hakiri zako! Nimwanachama yupi kuanzia mwekiti wao mpaka wanywa viroba wao atakae leta mvuto ndani ya chadema saivi!
CHADEMA IMEKUFA INASUBIRI KUZIKWA MWEZI OCTOBER
 
Ngazi za Mishahara zikoje huko?
 
Maskini "Kachero" Yericko Nyerere na GJ Malisa!
 
Back
Top Bottom