DOKEZO Sekretariet ya utumishi wa umma(PSRS) hawapokei simu

DOKEZO Sekretariet ya utumishi wa umma(PSRS) hawapokei simu

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Sekretariet ya utumishi wa umma(PSRS) hawapokei simu.

Yaani sioni umuhimu wa wao kuweka namba za simu kama mtu unaweza kupiga kwa dakika 30 na haipokelewi.

Pia mfumo haukubali mabadiliko, mfano ukiweka barua ukaomba nafasi ya ajira halafu ukaitoa ukarekebisha barua ukairudisha, pale kwenye barua uliyoombea mara ya kwanza haibadiliki.
 
Back
Top Bottom