nina kama interview 3 hivi niliomba kwa wakati mmoja na hawakuniita sababu ya kutokugonga muhuri wa mwanasheria birth certificate, japo nilifanikiwa kugonga muhuri na ku upload upya katikati ya kipindi cha matangazo kutolewa na kipindi bado hawajaita interview.
Ila ikaja NOT SHORTLISTED, huu ni upuuzi.
Niliwapigia na kuwapata kwa taabu sana lakini hawana majibu ya kueleweka na bado wakaninyima kufanya interview.
Hii inavunja moyo sana, unakuta mtu umeomba kada flani inapita zaidi ya miezi 4 wanakuja kutoa majibu eti NOT SHORTLISTED kisa tu muhuri wa cheti cha kuzaliwa, hapo hapo tayari wana # yako ya Nida, na tayari # ya nida ina kila info inayohusu identity ya muhusika.
This is so unreal, unnecessary and unprofessional.
Utumishi Wajitathmini.