Sekretarieti ya Ajira acheni kuwawekea waomba ajira vigingi visivyo na sababu za msingi.

Ngoja kwanza..
Daktari aliyesoma chuo kinachotambuliwa na TCU na UNESCO na ana leseni valid ya practitioner, interview ni ya kazi gani kama siyo usenge ni Nini?
Kwahy ukisoma huko hutakiwi kufanya usaili, yn wabongo wengi n wapumbavu kama ww, sasa kama umeweza kusoma huko na kufaulu unaogopaje usaili?
 
Sijaona kosa la utumishi hapo, yote hayo n makosa yako.
Vp kama walishapitia majina na wakakuta vyeti vyako havina mhuri ila wao walikuwa wanasubiri muda wao sahihi wa kuita hao watu.
 
Acheni kulialia hapa, Someni maelekezo
 
Sijaona kosa la utumishi hapo, yote hayo n makosa yako.
Vp kama walishapitia majina na wakakuta vyeti vyako havina mhuri ila wao walikuwa wanasubiri muda wao sahihi wa kuita hao watu.
Upo sahihi. Huwa kuna watu kazi yao ni kupitia maombi yote na kuandaa mkeka wa waliokidhi vigezo, wanaweza kuchelewa kuita usaili ila zoezi la kupitia wenye vigezo walishalifanya muda. Hivyo kama uki-update taarifa zako wakati zoezi limeshafanyika ni kujisumbua tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…