KERO Sekretarieti ya Ajira /Ajira Portal Wahudumu wenu hawapokei simu

KERO Sekretarieti ya Ajira /Ajira Portal Wahudumu wenu hawapokei simu

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Nevergive up

JF-Expert Member
Joined
Dec 24, 2024
Posts
600
Reaction score
945
Hii ni changamotoni kubwa sana. Hawa jamaa wa huduma kwa wateja wa Ajira Portal unaweza kuwapigia tokea asubuhi hadi jioni na simu haipokelewi na mbaya zaidi namba yao sifo free kupiga kwahiyo unapopiga dakika zinaenda.

Naomba wahusika wajaribu kuwapa elimu watoa huduma wao tafadhali, wawe wanapokea simu za wananachi kwasababu mimi siamini kuwa wanakuwa busy siku nzima na kama wana uhaba wa wafanya kazi basi ni bora waongezee nguvu, watu ni wengi huku mtaani wanazagaa hawana kazi si bora sasa wachukuliwe wakaongeze nguvu huko.
Screenshot 2026-01-05 092014.jpg
 
Back
Top Bottom