Sekretarieti ya ajira ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu. Je, imefikia wapi mbona kimya?

MrCardo

New Member
Joined
Jun 16, 2025
Posts
4
Reaction score
0
Kuna siku Serikali kupitia sekretarieti ya ajira katika utumishi wa Umma ilitoa mwongozo wa kujitolea Kwa nafasi za ualimu - ajira za kujitolea serikalini kuanza kutumika julai 2025.

Je, imefikia wapi mbona kimya na hakuna kinachoendelea?
 
Uwe unasoma matangazo kwa makini hakuna sehemu PSRS walitoa nafasi za ualimu za kujitolea bali lilikuwa tangazo kutoka Tamisemi. Na hata hivyo majina tayari yametoka unaweza kutazama kwenye akaunti yako
 
Back
Top Bottom