Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

Sekretarieti ya ajira inawanyima haki watanzania kushiriki usaili wa ajira

kiu ya haki

Senior Member
Joined
Jul 17, 2015
Posts
103
Reaction score
55
Ndugu wanajamvi pazeni hili jambo ratiba za usaili wa NAOT na bodi ya mikopo(Heslb) sio rafiki kwa wasailiwa na inakatisha tamaa kushiriki hatimae vijana wengi wanaotafuta ajira hushindwa kuhudhuria nafasi hizo za usaili.

Usaili wa written ufanyike Dodoma Kisha practical ufanyike dar es salaam na oral ufanyike Dar es salaam hili limekaaje?

Kwanini Witten na practical zisifanyike dar es salaam na oral ikafanyika Dodoma,au kwanini vyote visifanyike sehemu Moja kama Dodoma tu au Dar salaam peke yake?Ili kuwapunguzia wasailiwa kurupishani za kusafiri huku na kule pia kuwapunguzia gharama .


Napaza sauti hii naomba sekretarieti ya ajira wafanye marekebisho ya ratiba za huu usaili .
 
Inasikitisha sana sijui wameingia ubia na mabasi..
Waziri alisema interview ifanyike kila mkoa kumbe ile ilikuwa porojo tu
 
Back
Top Bottom