Sekretarieti ya Ajira ipitie tena na kurekebisha makosa kwa waombaji wenye sifa

Joined
Mar 23, 2023
Posts
93
Reaction score
108
SEKRETARIATI IPITIE TENA NA KUREKEBISHA MAKOSA KWA WAOMBAJI WENYE SIFA

Na Josephat H +255 656 480 968

Sekretarieti ya Ajira inastahili pongezi kwa uwazi wake katika mchakato wa kutangaza majina ya walimu wanaostahili kufanya usaili. Uwajibikaji na uwazi huu huongeza imani kwa taasisi, kwani kila mwombaji ambaye hakuitwa amepewa sababu. Hata hivyo, kuna maeneo machache ambayo yanahitaji maboresho ili kuhakikisha usawa na haki kwa waombaji wote. Makala hii inalenga kutoa mapendekezo ya maboresho hayo.

1. Mapitio ya Waombaji Walioachwa kwa Sababu Zisizopaswa
Sekretarieti ya Ajira inapaswa kufanya mapitio ya baadhi ya waombaji ambao hawajaitwa kwa sababu ambazo hazikupaswa. Makosa ya kibinadamu au bahati mbaya yanaweza kutokea katika idara zinazopitia maombi wakati wa mchakato wa uchambuzi na uorodheshaji (screening and shortlisting phase).

Mfano: Kuna watu wanadai waliweka vyeti vilivyokuwa vimesajiliwa na mahakama au wakili lakini walitemwa kwa sababu ya "Academic certificate not attached" au "Academic certificate not Certified by magistrate/advocate." Inapotokea mwombaji ameomba kazi mbili zilizofungwa siku moja, lakini amekuwa shortlisted katika somo moja na not shortlisted katika somo jingine kwa sababu hizo, inaonyesha kuna makosa ya kiufundi yamejitokeza.

2. Uhalali wa Waombaji wa Fani Tofauti
Kwa mujibu wa tangazo la kazi, watu ambao hawakusomea ualimu kama taaluma ila wamesoma somo fulani la kufundishia wanaweza kuomba nafasi hizi na wamekidhi vigezo. Hata hivyo, wapo ambao wamekuwa shortlisted na wengine wenye vigezo sawa wamekuwa not shortlisted kwa sababu ya "Post Graduate Diploma in Education not attached."

Mfano: Mtu aliyesoma "Bachelor of Science in Mathematics" anaweza kuomba kazi ya ualimu wa Hisabati. Lakini baadhi ya watu wenye sifa sawa wamekataliwa kwa sababu zisizo sahihi, jambo linaloonyesha timu ya uchambuzi haijafahamu sheria vizuri.

3. Uhakiki wa Vyeti na Viambatisho
Kuna waombaji ambao wameambiwa vyeti vyao havikuthibitishwa na mahakama au wakili, ilhali walikuwa wameweka vyeti vilivyothibitishwa. Ni muhimu kwa Sekretarieti kuhakikisha wanafuatilia viambatisho hivyo kabla ya kutoa majibu ili kila mwenye haki apewe haki yake.

Mfano: Ikiwa mtu aliweka vyeti vilivyothibitishwa lakini bado alikataliwa, Sekretarieti inapaswa kupitia upya nyaraka hizo ili kuhakikisha hakuna makosa yaliyotokea.

4. Ushauri kwa Waombaji
Waombaji wanashauriwa kushughulikia maombi yao ya kazi kwa umakini, kufuata maelekezo na sheria zilizoorodheshwa kwenye tangazo la kazi. Kushindwa kufuata maelekezo ni kosa ambalo hakuna muajiri anayeweza kulikubali na usitegemee huruma.

Mfano: Hakikisha vyeti vyako vinavyosomeka na kuweka au kufanya kama ilivyoelekezwa kwenye masharti ya tangazo la kazi ili kuepuka matatizo baadaye.

5. Kukata Rufaa
Kwa wale ambao walikidhi masharti ya tangazo na kuweka kila kitu kama kilivyoainishwa kabla ya dirisha la maombi kufungwa, na wamekosa nafasi kwa sababu zisizoeleweka, wanayo haki ya kukata rufaa. Sekretarieti inapaswa kushughulikia rufaa hizi kwa haki na uwazi.

Mfano: Mtu ambaye aliweka vyeti vyake vilivyothibitishwa lakini bado hakuitwa, anapaswa kuwa na nafasi ya kukata rufaa na kupewa sababu kamili za kwanini hakuitwa.

6. Uwekaji Wazi wa Matokeo ya Usaili
Tunaiomba serikali kuweka wazi majibu ya usaili wa mdomo (oral interview) ili mtu aweze kujitathmini kwa namna alivyo fanya usaili na uhalisia wa maksi alizopewa. Hii itasaidia mtu kujua nafasi yake na kuona kama ni sahihi kutopangiwa kazi lakini kubaki kwenye kanzidata (database).

Hitimisho

Kwa kuhitimisha, ni muhimu kwa Sekretarieti ya Ajira kuboresha mifumo na taratibu zao ili kuhakikisha haki na uwazi kwa waombaji wote. Hili litasaidia kujenga imani na kuongeza ufanisi katika mchakato wa ajira.
 
SAwa tumekusikia.
Ushauri wako tumeupokea
Yanayoweza kufanyiwa kazi tutayafanyia kazi.
Ieleweke kwamba makosa ya kibinadamu yako.
Penye makosa ya kibinadamu tuvumiliane.
Tunapofanya vizuri tupewe pongezi.
Mwisho vijana waendelee kupambana.
 
Mm

Kwa kuhitimisha, ni muhimu kwa Sekretarieti ya Ajira kuboresha mifumo na taratibu zao ili kuhakikisha haki na uwazi kwa waombaji wote. Hili litasaidia kujenga imani na kuongeza ufanisi katika mchakato wa a

Mm mwenyew ni mhanga,nilikuta niwewekewa cheti cha mtu mwingne ambaye simfaham kabsa ikapelekea isomeke CSE is not certified by Advocate/magistrate baadae nikaweka cheti changu then nikafanya mawasiliano Utumishi jibu nililopewa et mpaka ajira zingne zitakapotangazwa, Imagine this na wakat mistake ni ya mfumo wao.
 
Hyo kazi uliifanyia wapi?? Kama stationery kuna uwezknao mkubwa ulichanganyiwa cheti na watu wa stationery....
 
Lengo waombaji wote wanaoomba wapate ajira.
Itawezekana kweli waombaji wote wenye vigezo wakaajiriwa?
🥱
 
Mm

Mm mwenyew ni mhanga,nilikuta niwewekewa cheti cha mtu mwingne ambaye simfaham kabsa ikapelekea isomeke CSE is not certified by Advocate/magistrate baadae nikaweka cheti changu then nikafanya mawasiliano Utumishi jibu nililopewa et mpaka ajira zingne zitakapotangazwa, Imagine this na wakat mistake ni ya mfumo wao.
Kwamba wao walikuwekea cheti kisicho chako? How?

Wakati unaweka hicho cheti chako ulikuwa stationary au ulitumia Computer/simu yako?
 
SEKRETARIATI IPITIE TENA NA KUREKEBISHA MAKOSA KWA WAOMBAJI WENYE SIFA

Na Josephat H +255 656 480 968

Sekretarieti ya Ajira inastahili pongezi kwa uwazi wake katika mchakato wa kutangaza majina ya walimu wanaostahili kufanya usaili. Uwajibikaji na uwazi huu huongeza imani kwa taasisi, kwani kila mwombaji ambaye hakuitwa amepewa sababu. Hata hivyo, kuna maeneo machache ambayo yanahitaji maboresho ili kuhakikisha usawa na haki kwa waombaji wote. Makala hii inalenga kutoa mapendekezo ya maboresho hayo.

1. Mapitio ya Waombaji Walioachwa kwa Sababu Zisizopaswa
Sekretarieti ya Ajira inapaswa kufanya mapitio ya baadhi ya waombaji ambao hawajaitwa kwa sababu ambazo hazikupaswa. Makosa ya kibinadamu au bahati mbaya yanaweza kutokea katika idara zinazopitia maombi wakati wa mchakato wa uchambuzi na uorodheshaji (screening and shortlisting phase).

Mfano: Kuna watu wanadai waliweka vyeti vilivyokuwa vimesajiliwa na mahakama au wakili lakini walitemwa kwa sababu ya "Academic certificate not attached" au "Academic certificate not Certified by magistrate/advocate." Inapotokea mwombaji ameomba kazi mbili zilizofungwa siku moja, lakini amekuwa shortlisted katika somo moja na not shortlisted katika somo jingine kwa sababu hizo, inaonyesha kuna makosa ya kiufundi yamejitokeza.

2. Uhalali wa Waombaji wa Fani Tofauti
Kwa mujibu wa tangazo la kazi, watu ambao hawakusomea ualimu kama taaluma ila wamesoma somo fulani la kufundishia wanaweza kuomba nafasi hizi na wamekidhi vigezo. Hata hivyo, wapo ambao wamekuwa shortlisted na wengine wenye vigezo sawa wamekuwa not shortlisted kwa sababu ya "Post Graduate Diploma in Education not attached."

Mfano: Mtu aliyesoma "Bachelor of Science in Mathematics" anaweza kuomba kazi ya ualimu wa Hisabati. Lakini baadhi ya watu wenye sifa sawa wamekataliwa kwa sababu zisizo sahihi, jambo linaloonyesha timu ya uchambuzi haijafahamu sheria vizuri.

3. Uhakiki wa Vyeti na Viambatisho
Kuna waombaji ambao wameambiwa vyeti vyao havikuthibitishwa na mahakama au wakili, ilhali walikuwa wameweka vyeti vilivyothibitishwa. Ni muhimu kwa Sekretarieti kuhakikisha wanafuatilia viambatisho hivyo kabla ya kutoa majibu ili kila mwenye haki apewe haki yake.

Mfano: Ikiwa mtu aliweka vyeti vilivyothibitishwa lakini bado alikataliwa, Sekretarieti inapaswa kupitia upya nyaraka hizo ili kuhakikisha hakuna makosa yaliyotokea.

4. Ushauri kwa Waombaji
Waombaji wanashauriwa kushughulikia maombi yao ya kazi kwa umakini, kufuata maelekezo na sheria zilizoorodheshwa kwenye tangazo la kazi. Kushindwa kufuata maelekezo ni kosa ambalo hakuna muajiri anayeweza kulikubali na usitegemee huruma.

Mfano: Hakikisha vyeti vyako vinavyosomeka na kuweka au kufanya kama ilivyoelekezwa kwenye masharti ya tangazo la kazi ili kuepuka matatizo baadaye.

5. Kukata Rufaa
Kwa wale ambao walikidhi masharti ya tangazo na kuweka kila kitu kama kilivyoainishwa kabla ya dirisha la maombi kufungwa, na wamekosa nafasi kwa sababu zisizoeleweka, wanayo haki ya kukata rufaa. Sekretarieti inapaswa kushughulikia rufaa hizi kwa haki na uwazi.

Mfano: Mtu ambaye aliweka vyeti vyake vilivyothibitishwa lakini bado hakuitwa, anapaswa kuwa na nafasi ya kukata rufaa na kupewa sababu kamili za kwanini hakuitwa.

6. Uwekaji Wazi wa Matokeo ya Usaili
Tunaiomba serikali kuweka wazi majibu ya usaili wa mdomo (oral interview) ili mtu aweze kujitathmini kwa namna alivyo fanya usaili na uhalisia wa maksi alizopewa. Hii itasaidia mtu kujua nafasi yake na kuona kama ni sahihi kutopangiwa kazi lakini kubaki kwenye kanzidata (database).

Hitimisho

Kwa kuhitimisha, ni muhimu kwa Sekretarieti ya Ajira kuboresha mifumo na taratibu zao ili kuhakikisha haki na uwazi kwa waombaji wote. Hili litasaidia kujenga imani na kuongeza ufanisi katika mchakato wa ajira.
Mkuu vijana wengi hawapo serious.Wengi wanaombewa kazi kupitia stationary na hawahakiki kile kilichofanywa na mwingine kiko sahihi? Hapo kwenye suala la kuwekewa vyeti vya mtu mwingine ni uthibitisho wa hiki ninachokisema.PSRS haihusiki na kuwekea mtu vyeti kwenye profile yake.Vijana wanaoomba ajira stationary wawe makini na wahakiki kile kilichofanyika kwa stationary. Just imagine mtu hata tangazo la kuhakiki taarifa zao hawakulifuatilia na sekretarieti ilitangaza lakini atakuja humu kulialia kuwa not selected hasemi ukweli. Vijana badilikeni usaili ndio huo usipofuata madharti ya muajiri kamwe hutoweza fan ikiwa.
 
Hii sekretariat ina shida.
Naona matanganzo ya kuitwa kwenye ajira kila halmashauri inatoa tangazo lake. Tutakuwa na matangazo zaidi ya 100!
Kwa nini wasitoe tangazo moja lenye orodha yote na vituo walikopangiwa? Halafu wote wanatakiwa kwenda kurundikana Dodoma kuchukua barua! Huu sio mwanya wa rushwa unatengenezwa?
Angalia hapa: Majina Ya Walioitwa Kazini Utumishi Na Ajira Portal 2024 - Elimu Forum
 
Ila watanzania mnapenda kulalamika almost kwenye kila jambo, hamjui kwamba hiyo hali inafanya mwili uwe dhaifu.
 
SEKRETARIATI IPITIE TENA NA KUREKEBISHA MAKOSA KWA WAOMBAJI WENYE SIFA

Na Josephat H +255 656 480 968

Sekretarieti ya Ajira inastahili pongezi kwa uwazi wake katika mchakato wa kutangaza majina ya walimu wanaostahili kufanya usaili. Uwajibikaji na uwazi huu huongeza imani kwa taasisi, kwani kila mwombaji ambaye hakuitwa amepewa sababu. Hata hivyo, kuna maeneo machache ambayo yanahitaji maboresho ili kuhakikisha usawa na haki kwa waombaji wote. Makala hii inalenga kutoa mapendekezo ya maboresho hayo.

1. Mapitio ya Waombaji Walioachwa kwa Sababu Zisizopaswa
Sekretarieti ya Ajira inapaswa kufanya mapitio ya baadhi ya waombaji ambao hawajaitwa kwa sababu ambazo hazikupaswa. Makosa ya kibinadamu au bahati mbaya yanaweza kutokea katika idara zinazopitia maombi wakati wa mchakato wa uchambuzi na uorodheshaji (screening and shortlisting phase).

Mfano: Kuna watu wanadai waliweka vyeti vilivyokuwa vimesajiliwa na mahakama au wakili lakini walitemwa kwa sababu ya "Academic certificate not attached" au "Academic certificate not Certified by magistrate/advocate." Inapotokea mwombaji ameomba kazi mbili zilizofungwa siku moja, lakini amekuwa shortlisted katika somo moja na not shortlisted katika somo jingine kwa sababu hizo, inaonyesha kuna makosa ya kiufundi yamejitokeza.

2. Uhalali wa Waombaji wa Fani Tofauti
Kwa mujibu wa tangazo la kazi, watu ambao hawakusomea ualimu kama taaluma ila wamesoma somo fulani la kufundishia wanaweza kuomba nafasi hizi na wamekidhi vigezo. Hata hivyo, wapo ambao wamekuwa shortlisted na wengine wenye vigezo sawa wamekuwa not shortlisted kwa sababu ya "Post Graduate Diploma in Education not attached."

Mfano: Mtu aliyesoma "Bachelor of Science in Mathematics" anaweza kuomba kazi ya ualimu wa Hisabati. Lakini baadhi ya watu wenye sifa sawa wamekataliwa kwa sababu zisizo sahihi, jambo linaloonyesha timu ya uchambuzi haijafahamu sheria vizuri.

3. Uhakiki wa Vyeti na Viambatisho
Kuna waombaji ambao wameambiwa vyeti vyao havikuthibitishwa na mahakama au wakili, ilhali walikuwa wameweka vyeti vilivyothibitishwa. Ni muhimu kwa Sekretarieti kuhakikisha wanafuatilia viambatisho hivyo kabla ya kutoa majibu ili kila mwenye haki apewe haki yake.

Mfano: Ikiwa mtu aliweka vyeti vilivyothibitishwa lakini bado alikataliwa, Sekretarieti inapaswa kupitia upya nyaraka hizo ili kuhakikisha hakuna makosa yaliyotokea.

4. Ushauri kwa Waombaji
Waombaji wanashauriwa kushughulikia maombi yao ya kazi kwa umakini, kufuata maelekezo na sheria zilizoorodheshwa kwenye tangazo la kazi. Kushindwa kufuata maelekezo ni kosa ambalo hakuna muajiri anayeweza kulikubali na usitegemee huruma.

Mfano: Hakikisha vyeti vyako vinavyosomeka na kuweka au kufanya kama ilivyoelekezwa kwenye masharti ya tangazo la kazi ili kuepuka matatizo baadaye.

5. Kukata Rufaa
Kwa wale ambao walikidhi masharti ya tangazo na kuweka kila kitu kama kilivyoainishwa kabla ya dirisha la maombi kufungwa, na wamekosa nafasi kwa sababu zisizoeleweka, wanayo haki ya kukata rufaa. Sekretarieti inapaswa kushughulikia rufaa hizi kwa haki na uwazi.

Mfano: Mtu ambaye aliweka vyeti vyake vilivyothibitishwa lakini bado hakuitwa, anapaswa kuwa na nafasi ya kukata rufaa na kupewa sababu kamili za kwanini hakuitwa.

6. Uwekaji Wazi wa Matokeo ya Usaili
Tunaiomba serikali kuweka wazi majibu ya usaili wa mdomo (oral interview) ili mtu aweze kujitathmini kwa namna alivyo fanya usaili na uhalisia wa maksi alizopewa. Hii itasaidia mtu kujua nafasi yake na kuona kama ni sahihi kutopangiwa kazi lakini kubaki kwenye kanzidata (database).

Hitimisho

Kwa kuhitimisha, ni muhimu kwa Sekretarieti ya Ajira kuboresha mifumo na taratibu zao ili kuhakikisha haki na uwazi kwa waombaji wote. Hili litasaidia kujenga imani na kuongeza ufanisi katika mchakato wa ajira.
Kuna information ambazo hupitiwa na system bila binadamu kugusa. Hakikisha unapajua taarifa ambazo zinatambulika kirahisi na mfumo (roboti)
 
Mimi swali langu kwa sekretarieti, na wizara ni? Ni kipi kilichoshindikana kuheshimu machaguo ya watu walikoomba sehemu za kazi na kufanyia intavyuu?

Kweli hata kujaribu tu wengi wapate kama walivyoomba halafu ndio baadae walioongezeka na nafasi zisitoshe unawasambaza iwezekanavyo, kwa nini hamjaribu. Sababu ni ipi ya kupanga randomly tueleweshe. Silalamiki, natafuta kuelewa.
 
Umepangiwa wapi na uliomba wapi?
 
Kwanini unachagua watz wa kuwahudumia au wewe mkimbizi ?
 
Sikia chief.

Ingekuwa inaajiri watu wanaotoka vyuoni mojakwa moja hicho kitu kinaweza kukaa kiasi.... lakini hii ya sasa watu wana miaka mitatu, mitano, saba huko wamejijenga na kufocus maisha yao, wameoa, wameolewa, wana wazazi wanahudumia wanaomba kazi kulingana na vigezo kibao halafu unamtoa mtu mwenye familia mara, eti akahudumie watz Mtwara!!??? Whatsap Twitter Facebook 😯😯.

Swali halijajibiwa, ni nini kimefanya hayo machaguo yao yasiheshimiwe? Yaaani faida za mfumo huu ukilinganisha na ingepangwa? Je mfumo ulizidiwa? Je wataalamu ha....... tuambie tuelewane
 
Mkuu vijana wengi hawapo serious.Wengi wanaombewa kazi kupitia stationary na hawahakiki kile kilichofanywa na mwingine kiko sahihi? Hapo kwenye suala la kuwekewa vyeti vya mtu mwingine ni uthibitisho wa hiki ninachokisema.PSRS haihusiki na kuwekea mtu vyeti kwenye profile yake.Vijana wanaoomba ajira stationary wawe makini na wahakiki kile kilichofanyika kwa stationary. Just imagine mtu hata tangazo la kuhakiki taarifa zao hawakulifuatilia na sekretarieti ilitangaza lakini atakuja humu kulialia kuwa not selected hasemi ukweli. Vijana badilikeni usaili ndio huo usipofuata madharti ya muajiri kamwe hutoweza fan ikiwa.
Mkuu ipo shida sana. vipi lakini mkuu
 
Sikia chief.

Ingekuwa inaajiri watu wanaotoka vyuoni mojakwa moja hicho kitu kinaweza kukaa kiasi.... lakini hii ya sasa watu wana miaka mitatu, mitano, saba huko wamejijenga na kufocus maisha yao, wameoa, wameolewa, wana wazazi wanahudumia wanaomba kazi kulingana na vigezo kibao halafu unamtoa mtu mwenye familia mara, eti akahudumie watz Mtwara!!??? Whatsap Twitter Facebook 😯😯.

Swali halijajibiwa, ni nini kimefanya hayo machaguo yao yasiheshimiwe? Yaaani faida za mfumo huu ukilinganisha na ingepangwa? Je mfumo ulizidiwa? Je wataalamu ha....... tuambie tuelewane
Kaka hii ni nchi yetu sote, hawa watz wenzako popote walipo wanahitaji huduma yako. Hakuna ugumu wowote wa kuhamisha shughuli zako ukiamua kuwahudumia kwa moyo wa kizalendo. Ukiweza kufanya hayo kwa moyo mkunjufu utabarikiwa zaidi ya hivyo ulivyopoteza. Sema amen
 
Back
Top Bottom