Samba
Member
- Nov 24, 2013
- 74
- 65
Sekretarieti ya Ajira, hivi hamna mtu wa quality assuarance? ili akague adverts zenu kabla ya kuwekwa kwa portal na kwenye webiste? hivi hamnuoni kwamba kuna kazi nyingi zina makosa?
Unakuta kazi ipo kwenye category yako na programme yako iko listed lakini huwezi kuomba kazi unaambiwa programe /course yako haiko relevant!
Haya mnapigiwa simu mnasema mnashughulikia au mnasema tupige Help Desk wakati simu ziko off mpaka deadline inapita kabla haijarekebishwa.
Kwa nini ? hata simu unaweza piga mara 50 na husiipate tuwafikirieje? Au mme restrict kusudi waombe watu fulani tu? Tupeni majibu tafadhali