A
Anonymous
Guest
Sekretarieti ya ajira imetoa majina ya afya ya USAILI wa kuandika, ila cha kusikitisha ni kwamba usaili wa kuandika unafanyika mkoani unapoishi ila usaili wa mdomo unaenda kule ulipoombea kazi.
Kwanini iwe hivi hii ni kukatishana tamaa na kutaka watu wasiende kwenye interview sababu mimi nipo Mtwara nimeomba kazi Kagera nitawezaje kwenda gharama zote hizo?
Na kwenye tangazo kwanini hawakuweka mtu aombe tu hapo hapo anapoishi. Mwajiri ni Serikali, kwanini mtu aende kule alipoombea kazi na wakati mwajiri ni Serikali?
Huku ni kuibua taharuki tu