KERO Sekretarieti ya ajira kutaka usaili wa mdomo kada ya afya kufanyika sehemu uliyoomba kazi ni kuwabebesha gharama kubwa waombaji

  • Thread starter Thread starter Anonymous
  • Start date Start date
Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Sekretarieti ya ajira imetoa majina ya afya ya USAILI wa kuandika, ila cha kusikitisha ni kwamba usaili wa kuandika unafanyika mkoani unapoishi ila usaili wa mdomo unaenda kule ulipoombea kazi.

Kwanini iwe hivi hii ni kukatishana tamaa na kutaka watu wasiende kwenye interview sababu mimi nipo Mtwara nimeomba kazi Kagera nitawezaje kwenda gharama zote hizo?

Na kwenye tangazo kwanini hawakuweka mtu aombe tu hapo hapo anapoishi. Mwajiri ni Serikali, kwanini mtu aende kule alipoombea kazi na wakati mwajiri ni Serikali?

Huku ni kuibua taharuki tu
 
Sasa hivi kwani hampangiwi vituo tena, unaomba moja kwa moja kwenye kituo cha kazi?
 
Ni kweli ila cha kushangaza mimi ni swali langu moja tu kama waombaji wa kazi hawajafikia lengo la serikali kuna haja gani ya kusumbua watu kwenda kufanya interview ??? Mfano NURSE serikali ilitoa tangazo inataka watu 2282 lakini majina yalitoka ni 879 sasa kwanini hawa muwasumbue kuwafanyia interview wakati ilitakiwa wapangiwe vituo tu moja kwa moja kama dhumuni la serikali ni kutafta watu wenye vigezo basi hao walishapita bila kupingwa...au serikali hamuamini hata vyuo vyenu amuamini watu wanaofundisha mpaka mje muwaasses nyie?
 
Daah haya mawazo.

Yaani kada sensitive kama hiyo ubebe tu mawatu uyape kazi kirahis tu..

Tena hao ni wa kuwafanyia INTERVIEW ile intensive kabisa.
 
Ndo kusema manesi ni wachache hivyo nchini Au mchujo wa awali Kuna watu wametemwa?
 
Daah haya mawazo.

Yaani kada sensitive kama hiyo ubebe tu mawatu uyape kazi kirahis tu..

Tena hao ni wa kuwafanyia INTERVIEW ile intensive kabisa.
ni kweli lakini kumbuka hao hao serikali ndo wameajiri watu wa kuwafundisha je waliowaajiri bado hawana imani nao hhuko vyuoni????
 
Si kila chuo ni cha Serikali. Pia wengine wamemaliza chuo muda mrefu umepita.

Kumbuka huyu mtu ndio unamtegemea ww akutibu. Hao watu wa afya na waalimu ni wa kupiga INTERVIEW za maaana. Ukikosea hapo ukaajiri imeisha hiyo ni dizasta.

Ubaya pia wanaajiriwa kwa wingi just imagine umeajiri watu 5000, kati ya hao 100 pekee ndio competent.
 
Sekretarieti ya ajira imetoa majina ya afya ya USAILI wa kuandika, ila cha kusikitisha ni kwamba usaili wa kuandika unafanyika mkoani unapoishi ila usaili wa mdomo unaenda kule ulipoombea kazi.

Kwanini iwe hivi hii ni kukatishana tamaa na kutaka watu wasiende kwenye interview sababu mimi nipo Mtwara nimeomba kazi Kagera nitawezaje kwenda gharama zote hizo?

Na kwenye tangazo kwanini hawakuweka mtu aombe tu hapo hapo anapoishi. Mwajiri ni Serikali, kwanini mtu aende kule alipoombea kazi na wakati mwajiri ni Serikali?

Huku ni kuibua taharuki tu
Punguza malalamiko
 
Back
Top Bottom