Una hoja Mkuu.. Ila kama nakumbuka Mhe. Namba 1 aliwapa Kibali kwa madai kuwa walilalamika kucheleweshwa kwa mchakato wa kuwapata watumishi wapyaSekretarieti ya ajira mmekuwa msaada mkubwa sana kwa vijana wasio na connection kupata ajira.
Niukweli usio pingika Sekretariet ya Ajira mko fair sana katika kutafuta watumishi wa Umma, hakuna upendeleo wala vimemo, anaye ajiriwa kimsingi anakiwa amefanya vyema kwenywe Interview.
Kitendo cha kurudisha ajira hizo kwenye Taasisi husika kinarudisha nyuma jitihada za kuondosha ukabila katika Taasis mbalimbali Nchini.
Sekretarieti ya Ajira, tunaomba mrudishe ajira za TRA kwenu, ambao watoto wetu wameshaweka nyaraka mbali mbali katika mfumo wenu wa ajira za umma.
Kwamba wakipeleka Tangazo Secretariet ya Ajira linachukua mda watu kuitwa kwenye usailiUna hoja Mkuu.. Ila kama nakumbuka Mhe. Namba 1 aliwapa Kibali kwa madai kuwa walilalamika kucheleweshwa kwa mchakato wa kuwapata watumishi wapya
Nadhani ilikuwa ni swala kuwasisitiza Utumishi kuharakisha, na sio kuhamisha mazima.Kwamba wakipeleka Tangazo Secretariet ya Ajira linachukua mda watu kuitwa kwenye usaili
Uko sahihi kabisa mkuu.. Ngoja tuone maana Mhe. Dr. Namba 1 alisema huwa anapitapita huku kusoma mawazo ya wadau..Nadhani ilikuwa ni swala kuwasisitiza Utumishi kuharakisha, na sio kuhamisha mazima.
PSRS wako fair sana kwa usaili, very fair, na hili ndio limenileta hapa kutetea vijana wasio ma connection.
1. Nawaza vijana kwenda kwa wanasheria tena kufuata certified copies za vyeti, wakati tayari PSRS waliwarahisishia, kwa maana ya nyaraka zote kupatikana kwenye tovuti ya Utumidshi.Uko sahihi kabisa mkuu.. Ngoja tuone maana Mhe. Dr. Namba 1 alisema huwa anapitapita huku kusoma mawazo ya wadau..
Kwa maoni yangu, PSRS inapaswa kushughulikia ofisi zote za serikali, pamoja na mashirika ya umma. Nafasi hizi za TRA zinapaswa kukuzwa kupitia PSRS.Meiner Meinung nach sollte sich PSRS mit allen Regierungsämtern befassen, einschließlich halbstaatlicher Regierungsämter. Diese TRA-Beiträge sollten tatsächlich über PSRS beworben werden
Ni kweli wana hoja bora hivyo mkuu, embu angalia watu tumeomba kazi hapo utumishi mpaka sasa tuna miezi sita hakuna usaili wowote tulio itwa kufanya, kitu ambacho sio kawaida ya recruitment yoyote kufanyika ni wao tu.Una hoja Mkuu.. Ila kama nakumbuka Mhe. Namba 1 aliwapa Kibali kwa madai kuwa walilalamika kucheleweshwa kwa mchakato wa kuwapata watumishi wapya
Kwa Sasa Kuna Baadhi ya mashirika na taasisi yamepewa uhuru wa kuajiri Ili kupungiza ukiritimba.Sekretarieti ya ajira mmekuwa msaada mkubwa sana kwa vijana wasio na connection kupata ajira.
Niukweli usio pingika Sekretariet ya Ajira mko fair sana katika kutafuta watumishi wa Umma, hakuna upendeleo wala vimemo, anaye ajiriwa kimsingi anakiwa amefanya vyema kwenywe Interview.
Kitendo cha kurudisha ajira hizo kwenye Taasisi husika kinarudisha nyuma jitihada za kuondosha ukabila katika Taasis mbalimbali Nchini.
Sekretarieti ya Ajira, tunaomba mrudishe ajira za TRA kwenu, ambao watoto wetu wameshaweka nyaraka mbali mbali katika mfumo wenu wa ajira za umma.
Kwa sasa hivi kazi kwenye taasisi za fedha zote ni za hawa wadau.Kitendo cha kurudisha ajira hizo kwenye Taasisi husika kinarudisha nyuma jitihada za kuondosha ukabila katika Taasis mbalimbali Nchini.
Mkuu inaonekana hujapitia mateso ya utumishi kukaa miezi nane na kadhalika huko na hakuna usahili ulioitiwa baada ya kuomba kazi Utumishi wewe .Kwa maoni yangu, PSRS inapaswa kushughulikia ofisi zote za serikali, pamoja na mashirika ya umma. Nafasi hizi za TRA zinapaswa kukuzwa kupitia PSRS.
Hauelewi role ya utumishi kwenye mchakato wa ajiraMkuu inaonekana hujapitia mateso ya utumishi kukaa miezi nane na kadhalika huko na hakuna usahili ulioitiwa baada ya kuomba kazi Utumishi wewe .
Jamaa yangu mmja aliniambia amefila oral mara 2 tena baada ya kuwachimba mkwara hao TRA kwamba ni mtu wa Chama lakini hakutoboa.Natamani watanzania wenzangu mngejua nguvu iliyopo nyuma ya kuruhusu TRA waajiri wenyewe. Kama ulishindwa kupata kazi TRA enzi za Ajira portal kwa sasa possibility ya kuajiriwa ni 5%, kwa sasa ni watoto, ndugu na jamaa wa political class tu.
Hauelewi role ya utumishi kwenye mchakato wa ajira
Kwamba unataka kutuaminisha kuchelewesha usahili ni moja ya role za kiutumishi..! , basi TRA wange bakia nao kusubiria hiyo role kufanya kazi kama haina side effects mbaya.Hauelewi role ya utumishi kwenye mchakato wa ajira
Hiyo hoja Haina msingi Kwa sababu Kwa nini wacheleweshe kupewa vibali?Una hoja Mkuu.. Ila kama nakumbuka Mhe. Namba 1 aliwapa Kibali kwa madai kuwa walilalamika kucheleweshwa kwa mchakato wa kuwapata watumishi wapya