-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
Mkuu inshu ya ukabila na connection/kujuana haiwezi kuisha kamwe...Sekretarieti ya ajira mmekuwa msaada mkubwa sana kwa vijana wasio na connection kupata ajira.
Niukweli usio pingika Sekretariet ya Ajira mko fair sana katika kutafuta watumishi wa Umma, hakuna upendeleo wala vimemo, anaye ajiriwa kimsingi anakiwa amefanya vyema kwenywe Interview.
Kitendo cha kurudisha ajira hizo kwenye Taasisi husika kinarudisha nyuma jitihada za kuondosha ukabila katika Taasis mbalimbali Nchini.
Sekretarieti ya Ajira, tunaomba mrudishe ajira za TRA kwenu, ambao watoto wetu wameshaweka nyaraka mbali mbali katika mfumo wenu wa ajira za umma.
Hata ikitokea ni ww ukawa na wadhifa sehemu au nafasi ya kumuweka mtu sehemu huwezi muweka mtu baki usiyemfahamu zaidi ya nduguyo/rafiki. Usitake kuonekana kwamba ww una hekima sana.
All in all PSR wanajitahidi sana kutenda haki japo napo kuna connection na kujuana. Kuna ile unaambiwa tu kijana mwambie apambane tu aingie oral basi mchezo umeisha na kuna ile kijana hana haja ya kufanya interview tutacheza tu na database basi.