Hakuna urasimu wowote, mimi pia nimeenda kuchukua ya kwangu ijumaa, ukiwa na kitambulisho chako tuu wanakutafutia barua yako una sign kwamba umepokea then unaifungua na kuisoma kuona kama hawajakosea jina lako, na kama wamekosea unawaambia wanairekebisha hapo hapo. Kila la kheri!