Sekretarieti Ya Ajira Na Filamu Ya "The Long Wait",,,,,!

Hakuna urasimu wowote, mimi pia nimeenda kuchukua ya kwangu ijumaa, ukiwa na kitambulisho chako tuu wanakutafutia barua yako una sign kwamba umepokea then unaifungua na kuisoma kuona kama hawajakosea jina lako, na kama wamekosea unawaambia wanairekebisha hapo hapo. Kila la kheri!
 
Vp ukienda kuripot bila barua alafu uka anza kuifuatilia barua baada ya kuriport?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…