Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

Sekretarieti ya Ajira tunaomba ufafanuzi kuhuzu Ajira za walimu tangazo linalosambaa mtandaoni kwamba wenye kadi ya ccm watapewa kipaumbele

Mtulivu34

Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
16
Reaction score
62
Nimeweka tangazo kama linavyosomeka namba zilizotumika ni namba za UVCCM dar es salaam .

Inaonekana vijana walio uvccm watapewa kipaumbele kwenye hizo ajira

Huu ni mchezo ambao haukabiliki haiwezekanu tukaungiza siasa kwenye Ajira .

Kua UVCCM haiwezi kukupa uhakika was Ajira tunaomba haki itendeke

Usaili ulisitishwa tangu October hadi Leo hakuna taarifa yeyote iliyotolewa

IMG-20241222-WA0000.jpg
Screenshot_20241222-150103.jpg

IMG-20241222-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom