Anasema alinusurika kwenda field kwenye mashine ya kusaga ungaOntario alisema yeye kajiongeza mapema akawa chawa wa broka
Ukikodi watu wa kimataifa ujue na fungu(budget) itakayoelekezwa kwaajili ya mradi itakuwa ya kimataifa pia.Vipi kuhusu kukodi wataalamu kutoka nje ya nchi.
Mkuu nakuelewa sana, ila ipo haja ya kujiboresha wenyewe. Nitafute nikupatie kitabu cha challenge of negotiations in oil and gas sector. Usome mpaka mwisho. Alafu utazijua athari za kukodi wataalamu unapojadiliana na international oil company.Ukikodi watu wa kimataifa ujue na fungu(budget) itakayoelekezwa kwaajili ya mradi itakuwa ya kimataifa pia.
Umenielewa?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
ππππππππππAcha wivu wa kike wewe hutaki ndugu wa viongozi wa sisiem wapenyezwe hata kama wamesomea sociology.
#MaendeleoHayanaChama
Mfano kazi ya production, kama umeamua kuita engineering zingine unamwachaje Chemical engineering kwa mfanoππππππππHili Jambo hata mm nililiona, nikawa nawaza kwanini imekuwa hivi. Kama ni hivyo ziitwe course zote za engineering maana kwa job description nilizoziona, engineering yeyote anaweza fit vizuri sana
Soma hili andiko mpaka mwisho ndipo utagundua kwamba wataalamu wa kukodi sio wazuri.Ukikodi watu wa kimataifa ujue na fungu(budget) itakayoelekezwa kwaajili ya mradi itakuwa ya kimataifa pia.
Umenielewa?
Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Thanks for sharing, itabidi nikisome hiki.Soma hili andiko mpaka mwisho ndipo utagundua kwamba wataalamu wa kukodi sio wazuri.