Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kw hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?

Sekretarieti ya ajira tupeni ufafanuzi kw hizo ajira za PURA wasipewe watu waliosomea Petroleum Geology, Petroleum Engineering na Petroleum Chemistry?

Ukikodi watu wa kimataifa ujue na fungu(budget) itakayoelekezwa kwaajili ya mradi itakuwa ya kimataifa pia.
Umenielewa?

Sent from my TECNO Camon CX using JamiiForums mobile app
Mkuu nakuelewa sana, ila ipo haja ya kujiboresha wenyewe. Nitafute nikupatie kitabu cha challenge of negotiations in oil and gas sector. Usome mpaka mwisho. Alafu utazijua athari za kukodi wataalamu unapojadiliana na international oil company.
 
Kiukweli sekretarieti huwa wanzingua karibu kada zote tu, mfano

Unakuta wameweka vigezo kisha wakaandika any related field of social science ..sasa ukiweka kauli hii ni tayari unafungua dirisha kwa graduates tofauti wa fields za social science ..ila ajabu system yao ima tema
 
Acha wivu wa kike wewe hutaki ndugu wa viongozi wa sisiem wapenyezwe hata kama wamesomea sociology.

#MaendeleoHayanaChama
 
Hili Jambo hata mm nililiona, nikawa nawaza kwanini imekuwa hivi. Kama ni hivyo ziitwe course zote za engineering maana kwa job description nilizoziona, engineering yeyote anaweza fit vizuri sana
 
Hili Jambo hata mm nililiona, nikawa nawaza kwanini imekuwa hivi. Kama ni hivyo ziitwe course zote za engineering maana kwa job description nilizoziona, engineering yeyote anaweza fit vizuri sana
Mfano kazi ya production, kama umeamua kuita engineering zingine unamwachaje Chemical engineering kwa mfano😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom