KERO Sekretarieti ya Ajira uwazi na weledi wenu uko wapi? acheni kuwawekea Watu sababu zisizo za kweli

KERO Sekretarieti ya Ajira uwazi na weledi wenu uko wapi? acheni kuwawekea Watu sababu zisizo za kweli

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

abuu_Ayman

New Member
Joined
Jul 25, 2026
Posts
2
Reaction score
0
Kuna wakati nawaelewa sana, ila kuna wakati mnafanya mambo mengine yanakatisha tamaa sisi tunaojipinda kuangalia status za shortlisted au not shortlisted. Mfumo ulihitaji niweke documents certified na nimefanya hivyo mapema sana. Nikafanikiwa kuitwa kwa interview.

Maajabu ni kuwa nimeapply nafasi mbili zile, niko na sifa sawa, ila mkaamua kunichagulia ya kushiriki usaili na nyingine mkaniwekea sababu ya kutokuwa shortlisted kuwa ni cheti cha kuzaliwa hakijawa certified, ikiwa si kweli. Nimejaribu kurejea documents zangu, ziko sawa bila tatizo kama hilo.

Mnaonaje wakati mwingine mkawa mnaweka sababu halisi ili kutokukatisha tamaa sisi, juu ya usawa na uadilifu katika zoezi zima la AJIRA katika Utumishi wa Umma?

Nawasilisha kwa uchungu.


Screenshot_20261006-010505.png
 
Back
Top Bottom