Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
Ni jambo la kusikitisha Watalaam wa Secretariat ya Ajira kuwanyima Watafuta Ajira fursa ya Usaili.
Eti huujaitwa kwenye Usaili (Shortlisted) kwa kuwa hujazibitisha Vyeti vyako kwa Wakili au Mwanasheria. Ingawa umekidhi vigezo vyote vya Sifa ya Ajira tajwa.
Hivi wanashindwa Jumuiya mtafuta Ajira kwenye Usaili aende mkononi na Vyeti vilivyozibitishwa?
Kumbukeni Watu tuliweka Vyeti tangu 2017 na hatukupata Ajira zenu. Mkitangaza Wengi tunaweka barua ya Maombi kusubiri wito wa Usaili.
Mnatuua bila Sababu.