Inanambo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2011
- 4,039
- 2,840
- Thread starter
- #21
Ooooookeeeeeey.Vigezo na Masharti kuzingatiwa...
Hio pia ni sehemu ya Interview Mkuu...
Ukiona hvo ujue umechujwa mwanzo kabisa,, kwanini sheria ibadilike kwako ikiwa wenzako wamefanya hivo...?? au una amini Ajira wanakuhitaji sana wewe kuliko wewe unavowahitaji wao....
Next time zingatia sheria,, Lawama hazitakupa Ajira bali utii wa taratibu utafanikisha hilo siku moja