Wangeniita baada ya Sifa kukidhi, niende Certified vyeti. Wangepungukiwa na ni Nini? Hiyo kweli ni kigezo Cha kumnyima mtu Ajira wakati ana Vyeti Genuine kabisa? Taasisi zinazojitegemea wanakuita Uende mkonnoni na Vyeti Og na Copy zilizokuwa Certified. Ajira Tz mnazingua.Uki certify utapungukiwa Nini
Ukae ukijua kuwa KUJUANA kumesharudi katika ofisi za ummaNi jambo la kusikitisha Watalaam wa Secretariat ya Ajira kuwanyima Watafuta Ajira fursa ya Usaili.
Eti huujaitwa kwenye Usaili (Shortlisted) kwa kuwa hujazibitisha Vyeti vyako kwa Wakili au Mwanasheria. Ingawa umekidhi vigezo vyote vya Sifa ya Ajira tajwa.
Hivi wanashindwa Jumuiya mtafuta Ajira kwenye Usaili aende mkononi na Vyeti vilivyozibitishwa?
Kumbukeni Watu tuliweka Vyeti tangu 2017 na hatukupata Ajira zenu. Mkitangaza Wengi tunaweka barua ya Maombi kusubiri wito wa Usaili.
Mnatuua bila Sababu.
Wangeniita baada ya Sifa kukidhi, niende Certified vyeti. Wangepungukiwa na ni Nini? Hiyo kweli ni kigezo Cha kumnyima mtu Ajira wakati ana Vyeti Genuine kabisa? Taasisi zinazojitegemea wanakuita Uende mkonnoni na Vyeti Og na Copy zilizokuwa Certified. Ajira Tz mnazingua.
KuCertify tayari na nilishaongeza nilivyocertify. Ila kazi TRA nilishakosa. Yaani kwa Utalaam wao sijaona Sababu ya kutoniita Interview kwa kosa hilo. Sii wangeniita na kutangaza niende na Vyeti vilivyohakikiwa? Miaka hii ya technology Kuna na ukosefu wa Ajira kuna Mhitimu anazubutu kuweka kitu Fake mtandao wa Serikali!!? Kigezo hii ni mbinu Yao kuwaondoa Wasaka Ajira wasiowataka.Mkuu nakushauri nenda kacertifai tu kwani kuna garama gani tafuta ata mtu akufanyie mchongo mpe ata elfu kumi inatosha kufanya iyo kazi, alafu mm mwenyewe nilikuwa muanga kama wewe nilifata taratibu zote za ajira za utumishi nikafanya usaili nikapata kazi utumishi kingine naomba nikuakikishie utumishi ukitaka upate kazi jiandae vizur mimi wala sina mtu yoyote ninayemjua lkn mungu ni mwema nilipata kazi mkuu naomba fata taratibu zote mungu ni mwema
Mitihani ya TRA ilikua inavuja na Magu alikua rais.Ukae ukijua kuwa KUJUANA kumesharudi katika ofisi za umma
Ofisi ya Rais sekretarieti ya Ajira wameanza tena upumbavu wa kuitana katika usaili kwa kujuana na kupeana kazi
Serikali ilitazame hili kwa umakini sana, awamu iliyopita hili lilipotea sasa linarudi.
Mwenzako mmoja humu JF alikua mbishi kama wewe kwny ku-certify vyeti walivyomnyoosha Mara 1 tu alienda ku-certify mwenyewe.Sasa we endelea na msimamo wako.Yaani Wameninyima Kazi TRA hivi. Vigezo vyote ninavyo eti kuhakiki Vyeti tu ambavyo ningependa navyo Siku ya Interview Wameninyima. Maafisa Utumishi gani hawa wasiojua Cheti kilichowekwa kwenye mtandao wa Serikali ni halali.!!?? Wakumbuke Vyeti
vili wekwa tangu tulipoanza Kukosa Ajira 2016 hadi Leo. Tutaendelea kuuza Mkaa tupate pesa ya Mitaji.
Heee kuna papers zilivuja za TRA then mtihani ukahairishwa nani alikuwa Rais?Ukae ukijua kuwa KUJUANA kumesharudi katika ofisi za umma
Ofisi ya Rais sekretarieti ya Ajira wameanza tena upumbavu wa kuitana katika usaili kwa kujuana na kupeana kazi
Serikali ilitazame hili kwa umakini sana, awamu iliyopita hili lilipotea sasa linarudi.
Kwani unaongelea nafasi za TRA za lini?KuCertify tayari na nilishaongeza nilivyocertify. Ila kazi TRA nilishakosa. Yaani kwa Utalaam wao sijaona Sababu ya kutoniita Interview kwa kosa hilo. Sii wangeniita na kutangaza niende na Vyeti vilivyohakikiwa? Miaka hii ya technology Kuna na ukosefu wa Ajira kuna Mhitimu anazubutu kuweka kitu Fake mtandao wa Serikali!!? Kigezo hii ni mbinu Yao kuwaondoa Wasaka Ajira wasiowataka.
Unadhani wewe tu ndo uhudumiwe bila kufuata utaratibu kisa tuu una vyeti og....waachwe waliohakiki vyeti vyao uajiriwe wewe. Inaonekana wewe utakuwa mtumishi mnonko sana....bora wameliona hilo mapema ili uendelee kula raha mtaaniWangeniita baada ya Sifa kukidhi, niende Certified vyeti. Wangepungukiwa na ni Nini? Hiyo kweli ni kigezo Cha kumnyima mtu Ajira wakati ana Vyeti Genuine kabisa? Taasisi zinazojitegemea wanakuita Uende mkonnoni na Vyeti Og na Copy zilizokuwa Certified. Ajira Tz mnazingua.
Mkuu piga moyo konde kama umecertify tayali endelea kupambana ipo day utapata tu hakuna mkati mgumu mbele ya chai tuma maombi bila kuchoka usisahau kuomba munguKuCertify tayari na nilishaongeza nilivyocertify. Ila kazi TRA nilishakosa. Yaani kwa Utalaam wao sijaona Sababu ya kutoniita Interview kwa kosa hilo. Sii wangeniita na kutangaza niende na Vyeti vilivyohakikiwa? Miaka hii ya technology Kuna na ukosefu wa Ajira kuna Mhitimu anazubutu kuweka kitu Fake mtandao wa Serikali!!? Kigezo hii ni mbinu Yao kuwaondoa Wasaka Ajira wasiowataka.
Sawa.Unadhani wewe tu ndo uhudumiwe bila kufuata utaratibu kisa tuu una vyeti og....waachwe waliohakiki vyeti vyao uajiriwe wewe. Inaonekana wewe utakuwa mtumishi mnonko sana....bora wameliona hilo mapema ili uendelee kula raha mtaani