Sekretarieti ya CCM ziarani mkoani Tanga

Sekretarieti ya CCM ziarani mkoani Tanga

MASIGA

Senior Member
Joined
Aug 29, 2015
Posts
130
Reaction score
281
Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cde Gavu, Cde Mjema na Kenan watafanya ziara mkoani Tanga ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kuimarisha uhai wa chama hicho.

#KaziInaendelea
IMG-20230216-WA0191.jpg
 
Kula pesa za wananchi tu hayo maziara yameleta nini?

USSR
 
Back
Top Bottom