M MASIGA Senior Member Joined Aug 29, 2015 Posts 130 Reaction score 281 Feb 17, 2023 #1 Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cde Gavu, Cde Mjema na Kenan watafanya ziara mkoani Tanga ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kuimarisha uhai wa chama hicho. #KaziInaendelea
Wajumbe wa sekretarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Cde Gavu, Cde Mjema na Kenan watafanya ziara mkoani Tanga ya kukagua utekelezaji wa ilani ya uchaguzi na kuimarisha uhai wa chama hicho. #KaziInaendelea
USSR JF-Expert Member Joined Jul 15, 2015 Posts 10,904 Reaction score 26,184 Feb 17, 2023 #2 Kula pesa za wananchi tu hayo maziara yameleta nini? USSR
monde arabe JF-Expert Member Joined Oct 22, 2017 Posts 8,781 Reaction score 13,444 Feb 17, 2023 #3 Noma sana!