Mwana kondoo 2025
JF-Expert Member
- Apr 6, 2025
- 495
- 580
mnasifika kwa matuisi, mandamano mnafyata mikia......ndio uchwala webyewe . It is a pity kuwa supporters wote wa Lisu wanachokijua ni matusi!Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi. Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa. Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara. Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa. Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo
Huwez judge suppoters kisa umegombana na mtu mmoja.mnasifika kwa matuisi, mandamano mnafyata mikia......ndio uchwala webyewe . It is a pity kuwa supporters wote wa Lisu wanachokijua ni matusi!
Fine, uko sahihi...but nilikuwa naangalia/nasoma live streaming responses ya Kigaila, woooooooooooooooooooooooote walikuwa wanatukana! Itafute then you scan thrhogh utaona ukweli waaaaaaaaaaHuwez judge suppoters kisa umegombana na mtu mmoja.
Supporters ni wengi wako wastaarabu na wapo wasio wastaarabu
As i said, huwez ku generalize wale ndio wote. Thats very wrongFine, uko sahihi...but nilikuwa naangalia/nasoma live streaming responses ya Kigaila, woooooooooooooooooooooooote walikuwa wanatukana! Itafute then you scan thrhogh utaona ukweli waaaaaaaaaa
Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi. Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa. Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara. Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa. Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo
Jitu korofi.
Mama Abdul hataki kabisa kumsikia
This are the one’s who have been making CHADEMA redundant ! They have been used and some being in CCM payrolls ,Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi. Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa. Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara. Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa. Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo
Pamoja na hayo Lisu na Heche watafute zaidi kuunganisha wanachama. Umoja ni nguvu!Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi.
Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa.
Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara.
Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa.
Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo
Soma pia
Sasa umeandika nini? Hebu rudia kusoma ulichoandika uone ulivyo pungamnasifika kwa matuisi, mandamano mnafyata mikia......ndio uchwala webyewe . It is a pity kuwa supporters wote wa Lisu wanachokijua ni matusi!
Mbowe alizungukwa na wala rushwa haswaWananchi wamewapuuza, wamewaona ni mapandikizi ya CCM.
Tena imemshushia Mbowe heshima kupita kiasi