Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 6,750
- 14,529
Sitoshangaa wakianzisha chama chao wakiungana na hakina Mdee tena.
Inaonekana wapo wengi zaidi nyuma yao.
Inaonekana wapo wengi zaidi nyuma yao.
Nimeshukuru sana hao cdm maslahi kuondoka, ni bora wameondoka ili chama kibaki na wenye kusimama na hoja za chama. Hakuna kuendekeza wasioweza kuishi bila vyeo.Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi.
Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa.
Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara.
Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa.
Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo
Soma pia
Ni haki yao, ila mvuto wao ilikuwa ni ndani ya cdm.Sitoshangaa wakianzisha chama chao wakiungana na hakina Mdee tena.
Inaonekana wapo wengi zaidi nyuma yao.
Wapi umetukanwa boss, ama unajitengenezea dhana na kuiamini mwenyewe?mnasifika kwa matuisi, mandamano mnafyata mikia......ndio uchwala webyewe . It is a pity kuwa supporters wote wa Lisu wanachokijua ni matusi!
True CDM ndio brand ambassador, ila baadhi ya wanaojitoa wanamajina ya kujitegemea independently kwenye maeneo yao.Ni haki yao, ila mvuto wao ilikuwa ni ndani ya cdm.
Tunasubiri mzuie uchaguzi.Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi.
Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa.
Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara.
Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa.
Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo
Soma pia
Nitajie katika hao mwenye uwezo wa kusimama kama yeye na akatoboa. Hakuna reconciliation na wasaka vyeo. Siku zote Mbowe akiwa mwenyekiti alikuwa anaungwa mkono kwenye maamuzi ya chama, hawa wahuni Mbowe kashindwa hawataki kufuata maamuzi ya chama.True CDM ndio brand ambassador, ila baadhi ya wanaojitoa wanamajina ya kujitegemea independently kwenye maeneo yao.
CDM imebugi kususia uchaguzi, kinachohitajika hapo ni reconciliation sio ujuaji.
Nani katukana mbona unaongea mambo ambayo hayapo. Wewe nenda chauma wala hakuna mtu yoyote amekushika mkono tumewatakia safari njema nini tena mnataka.mnasifika kwa matuisi, mandamano mnafyata mikia......ndio uchwala webyewe . It is a pity kuwa supporters wote wa Lisu wanachokijua ni matusi!
Mzee povu jingi..mwenzio makonda anajenga hekalu vipi chawa ww upo vzr?umejizatiti ipasavyo kueka maisha sawa kwa wanao kipindi haupo duniani?mnasifika kwa matuisi, mandamano mnafyata mikia......ndio uchwala webyewe . It is a pity kuwa supporters wote wa Lisu wanachokijua ni matusi!
Hayo ya majina binafsi tusubiri matokeo ya uchaguzi; maana kiini cha G55 ni kugombea majimbo na udiwani kuliko kuwaachia CCM njia rahisi.Nitajie katika hao mwenye uwezo wa kusimama kama yeye na akatoboa. Hakuna reconciliation na wasaka vyeo. Siku zote Mbowe akiwa mwenyekiti alikuwa anaungwa mkono kwenye maamuzi ya chama, hawa wahuni Mbowe kashindwa hawataki kufuata maamuzi ya chama.
Hawataki kuwaachia ccm njia rahisi, kiliwashinda nini juzi kwenye uchaguzi wa SM za mitaa kutowachia ccm?Hayo ya majina binafsi tusubiri matokeo ya uchaguzi; maana kiini cha G55 ni kugombea majimbo na udiwani kuliko kuwaachia CCM njia rahisi.
Hayo ya Lissu ni vyema walivyotoka kuliko kuwa ndani na kuleta vurugu. Kwa sasa chama kitabaki na stability viongozi waliopo kuendelea na agenda yao ya ‘no reform no election’ bila ya bughudha.
Mpaka sasa CCM 3, CDM 0 kuelekea uchaguzi mkuu. Hii no reform na election ishafeli hata miezi miwili aina, Mpaka sasa hao watu wa kukinukisha hawapo na hao wazungu wa kusaidia hawapo.
Nasubiri siku iishe niulize huko kwenye bunge la EU ilikuwaje leo.
Achaneni na hizi njozi zenu za mchana, get serious; hakuna hao wa Tanzania wenye appetite ya kuchezea virungu kwa nyakati hizi.
mimi chawa wa mama yakoMzee povu jingi..mwenzio makonda anajenga hekalu vipi chawa ww upo vzr?umejizatiti ipasavyo kueka maisha sawa kwa wanao kipindi haupo duniani?
Ndio maana G-55 wameuliza huo uchaguzi tunazuia vipi, uongozi auna majibu.Hawataki kuwaachia ccm njia rahisi, kiliwashinda nini juzi kwenye uchaguzi wa SM za mitaa kutowachia ccm?
Ccm tatu au vyombo vya dola ndio 3 huku cdm ikiwa haina silaha?
Binafsi silichukulii bunge la ulaya serious. Kama unasubiri, subiri ww lakini mimi najua hakuna jipya.
Hata kama hakuna watanzania wenye uthutu, ni bora kuwaonyesha kuwa hakuna uchaguzi wa kwenda kupoteza muda, hadi watakokuwa tayari kuchezea virungu.
CUF ilivyosusia uchaguzi wa kihuni wa marudio 2015, kila mtu alisema CUF inaenda kufa maana itakosa ruzuku, mbona haikufa kwa kukosa ruzuku? Cdm ina wafuasi wanaojitambua, hata ikae bila ruzuku ni sawa. Kwani hivi sasa ina ruzuku gani ya maana, mbona haijafa?Ndio maana G-55 wameuliza huo uchaguzi tunazuia vipi, uongozi auna majibu.
Baada ya uchaguzi bila ya ruzuku chama kinaendeshwa vipi, uongozi auna majibu.
Huko ni sawa na kuwapeleka askari vitani bila ya silaha za kupambana na adui na wala una strategy ya aftermath. Utakuwa mwanajeshi wa hovyo sana kupigana hiyo vita.
CDM inaenda kufa rasmi, baada ya uchaguzi ruzuku itakapokata.
CDM JF endeleeni kujimwambafy, badala ya kuanza kufikiria kwa busara na kukiokoa chama.
Mtumbwi umetoboka huo, ni muda tu kabla ya kuzama.
Hata saa mbovu kwa siku usoma mara moja sawa, Ngurumo alionya juu ya hili na kutoa somo la kina la siasa kilichotokea NCCR Mageuzi baada ya kila mtu kujiona mjuaji. Tafuta hiyo episode kwenye YouTube channel yake it’s educational.
Kama ni hivyo kilio Cha nini' Sasa?!!!Mimi ni mwananchi mzalendo nimesikiliza hoja za waliokuwa wajumbe wa sekretariat ya utawala uliopita Chadema na sababu za kuhama kwao sijaona hoja ya msingi.
Kikubwa nilichokiona ni kutokomaa kisiasa na kukubali mabadiliko ya uongozi. UShauri wako kwa viongozi wa juu ukikataliwa haiwezi kuwa sababu ya kugombana na kuhama chama na au kujinyanyapaa mwenyewe kwa hisia zako na kisha kusingizia kutengwa.
Kitendo walichofanya ni kujitenga na falsafa ya no reform no election waliyoiasisi wao lakini wajue baada ya kuipeleka kamati kuu na hatimaye Baraza kuu kiitasisi haikuwa yao tena ni ya chama. walipaswa kutoa ushauri kwa wajumbe ndani ya Baraza kuu waiache na si vinginevyo. Consistency ni muhimu katika kujenga chama imara.
Lissu na Heche Hongera kwa hilo!.Kikubwa ni kwamba wana sekretariati hawa wamekuwa "Agrieved" baada ya kukosa vyeo kwa uongozi mpya. Wache waende hawatakuwa na impact kubwa kama covid 19 waliowahi kuwa wabunge mara kadhaa.
Hao ndiyo wenye nguvu ya kisiasa lakini siyo Mrema na akina Singo ambao wali forge hata barua za kuwapeleka covid 19 bungeni. Wake zao wakaishia kuwa wabunge wa michongo. Enyi chadema watakieni safari njema na hili litawakomaza zaidi na kubaki na wananchi kipindi cha mbowe mliisha poteza imani ya chama kwa wananchi. Mzalendo
Soma pia
Endeleeni kujimwambafy kuna siasa za field na mitandaoni.CUF ilivyosusia uchaguzi wa kihuni wa marudio 2015, kila mtu alisema CUF inaenda kufa maana itakosa ruzuku, mbona haikufa kwa kukosa ruzuku? Cdm ina wafuasi wanaojitambua, hata ikae bila ruzuku ni sawa. Kwani hivi sasa ina ruzuku gani ya maana, mbona haijafa?