Pre GE2025 Sekretarieti ya Mnyika yakata Majina ya Wagombea 'Wanaoonekana kuwa Kambi ya Lissu'

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
NAOMBA KUULIZA COMPOSITION YA SECRETARIETI ILIYOKATA HAYO MAJINA.

ILA PIA SIFA ZA KUTEULIWA NI PAMOJA NA UADILIFU NA SYO WATOA MATUSI
 
Mbowe na Co. ni walaghai
 
Si vyema kuleta habari ya upande mmoja. Ingekuwa busara kama ungeweka na hoja za sekretarieti
 
Mtu anayetukana na kutuhumu viongozi wakuu anawezaje kupitishwa agombee uongozi? Maadili na nidhamu ya chama lazima yalindwe kwa nguvu kubwa.
 
Wewe upo kijijini, nenda kwenye ukurasa wa Askofu Kamanda Mwamakula analialia tu.

Waliopo karibu na Lisu wanaujuwa ukwe
Una ushamba fulani wewe jamaa siku hizi dunia ni kijiji kimoja haijalishi uko wapi so long una access ya Internet taarifa unazo kiganjani ,nakushangaa tu unavyowatolea povu watu wanaomsapoti Lissu utaafikiri wewe ndiye Dr. Lillian Mtei, wacha upumbavu kujiona wewe unajua kila kitu. After all wewe ni mccm unawashwa nini na mambo ya Chadema? Wacha ujinga .
 
SIku zote nasema CCM na CHADEMA na wapinzani wote ni kitu kimoja na wote ni waganga njaa tu. Yale. Ambayo CHADEMA wamekuwa wakiyapigia kelele ndio hayo hayo wanayoyatenda kila leo
 
NAOMBA KUULIZA COMPOSITION YA SECRETARIETI ILIYOKATA HAYO MAJINA.

ILA PIA SIFA ZA KUTEULIWA NI PAMOJA NA UADILIFU NA SYO WATOA MATUSI
Siku hizi wasema ukweli wanapachikwa sifa ya kutoa matusi.
 
Lissu kilio kimeanza!
Wahi airport kuondoka mapema
Hivi tunaridhika na uporaji wa rasilimali zetu ? Hatutaki chama mbadala wa kukemea ? Nyerere aliona umuhimu wa kuwa na vyama imara vya kisiasa ili kukemea wizi wa mali zetu unaofanywa na Viongozi tunaowachagua. Kudorora au kufa kwa vyama imara kama Chadema ni kuruhusu Watanganyika kuendelea kuibiwa, kuburuzwa, na kukosa maendeleo ya kweli. Lissu akienda ulaya ataishi kwa raha. Wewe utapata nini ?
 
TAL NI MROPOKAJI,TU.
chama Cha upinzani ninmuhimu sana,ila Lissu hapana
 
Kwa upinzani aina CHADEMA ya FAM acha CCM itawale maisha
 
TAL NI MROPOKAJI,TU.
chama Cha upinzani ninmuhimu sana,ila Lissu hapana
Sioni uropokaji wake. Unakumbuka kauli za JPM zisizo na staha ? Mara sema unataka kupanuliwa wapi, mara Kaa na mavi yako na mengineyo machafu. Shida ya Lissu ni mkweli kupitiliza na Watanganyika wameridhika kuibiwa. Lissu ni Kiongozi mzuri sana. Watu wamekosa tuhuma zote chafu kwa Lissu kama uzinzi, rushwa na vyote.
 
Lissu alitakiwa awe Katibu Mkuu wa chama,ila sio uwenyekiti!!
Pia ni mtu katili sana!
Hajui aseme Nini na wapi!!
 
Huyu Mbowe ni wa kuondolewa kabisa anakiua hiki chama. Sasa hautaki fighter kama Rose Mayemba unataka nani aingie kamati kuu
Kama sio huyu, ulitaka nani akatwe? Na ni wao peke yao waliokatwa? Huyu angalau anaweza kuteuliwa katika hiyo nafasi lakini wengine ndio imetoka. Alikosea kufanya kampeni katika eneo la usaili. Angeachiwa angeweza kusababisha fujo maana upande wa pili nao ungetaka kufanya kampeni.

Amandla. .
 
Reactions: Tui
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…