Sekretarit ya ajira ni muda gani utakiwa kusubiriwa kwa usaili baada ya kutuma maombi ya kazi kisheria?

Sekretarit ya ajira ni muda gani utakiwa kusubiriwa kwa usaili baada ya kutuma maombi ya kazi kisheria?

Dpresident tz

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2020
Posts
300
Reaction score
350
Kiualisia sekretarit ya ajira kufikia hatua ya kutangaza nafasi za ajira ina maana kuna uitaji.Sasa inakuwaje nafasi itangazwe toka mwaka jana(2024) mwezi 8 mpaka mwezi huu wa pili mwaka 2025 hakuna mrejesho wowote?

Kama hakuna sheria kwa swala hili basi hakuna uaminifu tena kwa sekretarit ya ajira kama lengo la kuanzishwa kwake .Mfano mwezi 8/2024 kulitangazwa nafasi AFISI UTALII DARAJA II (10 posts) lakini mpaka mwaka 2025 hakuna mresho wowote.

Kwa hali hii mitazamo tofauti inatokea kwa waombaji wa nafasi hizi

1.Nafasi hizi 10 ziligawanwa mezani huko ofisini

2.Kama walijua wa kujaza hizo nafasi wapo kwanini walitangaza kupotezea watu muda na fedha

3.Hii ni dharau kubwa sana kwa hii secta ya utalii

4.Kama kuna viashiria vya rushwa na kichaka cha kudanya toto waombaji basi wafute hii sekretarit ili waombaji wawe wanatafuta namna (gombania goli)kabla ya kuomba nafasi.

Note: Madhara yake

1.Kupoteza uaminifu

2.Kumpotezea muombaji muda kusubiti majibu ambayo hayapo.

3.Kuwaathiri waombaji kisycholojia na kuhisi kuna watu special yaani grade A nchi hii na matokeo yake sio mazuri kwa nchi huko baadae

HITIMISHO viongozi wahusika nawaomba walifanyie kazi kuanzia kwa Waziri Simbachawena mpaka mh rais alione TANZANIA ni yetu sote.

Tanzania wenzetu wasipende kulamba mpaka sahani wakumbuke kuna wenzao wanatamani hata makombo tu yanatosha.😇😇😇
 
Hao sekretariat ni watu wa hovyo sana kuwahi kutokea wamekata ajira nusu zingine wakaacha hawajaita halafu mama samia anasema TUTUMIE 4R kwenye mambo kama haya na ujinga wa kikundi cha watu wachache.

Waalimu NETO Msiende mkakubali propaga nda za SIMBACHAWENE huko DODOMA. Mwaka huu kuna uchaguzi mwezi wa 10 tupate sababu....
 
Kuna kitu akiko sawa kuhusu ajira ila ukiona moshi jua kuna moto unafukuta.
 
Hili jambo kweli liangaliwe waweke muda maalum kisheria wa kusubiri usahili .. kama hawakuwa na uhitaji kwa nini wawahi kuweka matangazo ya ajira alafu wawasubirishe watu kwa muda mrefu hivyo.

Taka trh 2 mwezi wa nane mtu unasubiri karibu miezi sita(nusu mwaka) hii sio nzuri kabisa.

Kama hawana uhitaji wasiite usaili mpk pale wanapoona wana uhitaji wa haraka.
 
Hao sekretariat ni watu wa hovyo sana kuwahi kutokea wamekata ajira nusu zingine wakaacha hawajaita halafu mama samia anasema TUTUMIE 4R kwenye mambo kama haya na ujinga wa kikundi cha watu wachache.

Waalimu NETO Msiende mkakubali propaga nda za SIMBACHAWENE huko DODOMA. Mwaka huu kuna uchaguzi mwezi wa 10 tupate sababu....
NETO washikilie hapo hapo
 
Sema nasikia kadakwa na mapoti kiongozi wao
Hapo ndo kuna changamoto swala la kuwakamata halisahidii kitu swala ni kuelimisha watu utaratibu hupi unafatwa na ni kwanini na faida zake,kutumia nguvu kutaamsha fikra hatarishi zaidi sawa na kumwagia moto mafuta.Kama kweli ajira hazipo kama invyoubiriwa basi wasisumbue watu na kutangaza ajir hewa wakae kimya watu wanendelee kupambana na hali zao au wafanye internal recruitment hata watu wasijue itasahidia sana na watu wanaadapt mazingira.
 
Back
Top Bottom