Dpresident tz
JF-Expert Member
- Aug 22, 2020
- 300
- 350
Kiualisia sekretarit ya ajira kufikia hatua ya kutangaza nafasi za ajira ina maana kuna uitaji.Sasa inakuwaje nafasi itangazwe toka mwaka jana(2024) mwezi 8 mpaka mwezi huu wa pili mwaka 2025 hakuna mrejesho wowote?
Kama hakuna sheria kwa swala hili basi hakuna uaminifu tena kwa sekretarit ya ajira kama lengo la kuanzishwa kwake .Mfano mwezi 8/2024 kulitangazwa nafasi AFISI UTALII DARAJA II (10 posts) lakini mpaka mwaka 2025 hakuna mresho wowote.
Kwa hali hii mitazamo tofauti inatokea kwa waombaji wa nafasi hizi
1.Nafasi hizi 10 ziligawanwa mezani huko ofisini
2.Kama walijua wa kujaza hizo nafasi wapo kwanini walitangaza kupotezea watu muda na fedha
3.Hii ni dharau kubwa sana kwa hii secta ya utalii
4.Kama kuna viashiria vya rushwa na kichaka cha kudanya toto waombaji basi wafute hii sekretarit ili waombaji wawe wanatafuta namna (gombania goli)kabla ya kuomba nafasi.
Note: Madhara yake
1.Kupoteza uaminifu
2.Kumpotezea muombaji muda kusubiti majibu ambayo hayapo.
3.Kuwaathiri waombaji kisycholojia na kuhisi kuna watu special yaani grade A nchi hii na matokeo yake sio mazuri kwa nchi huko baadae
HITIMISHO viongozi wahusika nawaomba walifanyie kazi kuanzia kwa Waziri Simbachawena mpaka mh rais alione TANZANIA ni yetu sote.
Tanzania wenzetu wasipende kulamba mpaka sahani wakumbuke kuna wenzao wanatamani hata makombo tu yanatosha.😇😇😇