Mheshimiwa rais,
Tayari tuna ndege, treni na mabasi ya mwendokasi. Tayari tuna miundombinu mizuri na adimu katika bara la Africa kama viwanja vya ndege, SGR na BRT.
Lakini bado huduma katika maeneo yote hayo sio nzuri. SGR tumeanza jana tu lakini dadili sio nzuri,. Sustainability. Hakuna sustainability, hakuna future.
Uzoefu unaonesha ni vigumu sana kwa Serikali yoyote hata ya Marekani kuendesha au kufanya biashara na ikafanikiwa. Kwani kuendesha biashara kunahitaji high level of micromanagement na uzalendo mkubwa.
YOU MUST FEEL LIKE YOU ARE THE OWNER OF THE BUSSINESS FOR IT TO FLOURISH!
Ndege zetu, treni zetu na mabasi yetu hayana mwenyewe. Mambo si shwari kwenye uendeshaji wa miundombinu hii. Kabla vyote hivi vilivyonunuliwa kwa fedha ya jasho la damu la Mtanzania maskini havijapotelea kusikojulikana, tafadhali Rais fanya kitu.
Sekta binafsi ipewe nafasi ifanye uendeshaji na hata uwekezaji katika miundombinu hii muhimu kabla haijaharibika na kufa. Tukifanya hayo mapema tutaokoa miundombinu yetu na fedha adimu za maskini kabla hazijapotelea kusikojulikana.
Asante.