segwanga
JF-Expert Member
- Mar 16, 2011
- 2,788
- 729
Tanzania ni nchi mojawapo iliyobarikiwa kwa kutoa kauli mbiu zenye mvuto. Utasikia ari mpya,kasi mpya na nguvu mpya. Mara kasi zaidi,ari zaidi na nguvu zaidi. Mara maisha bora kwa kila mtanzania. Mara kilimo kwanza. Mara tumethubutu,tumeweza na tunasonga mbele. Kwa sasa kuna mpya na kali zaidi. BIG RESULTS NOW! Katika maazimio ya hiyo big results,hakuna mkakati wowote wa kuboresha mishahara ya walimu. Serikali itarajio matokeo mabovu zaidi