Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 3,119
- 1,430
SEKTA YA MADINI YACHANGIA ASILIMIA 10 YA PATO LA TAIFA
▪️Mchango wa sekta hii kwenye pato la Taifa umeendelea kuimarika na kukua kutoka asilimia 7.3 mwaka 2021, asilimia 9.1 mwaka 2023 na kufikia asilimia 10.1 mwaka 2024
#MguuKwaMguu
SHUGHULI ZA UCHIMBAJI WA MADINI WAONGEZEKA KWA ASILIMIA 11.3
Kasi ya ukuaji wa shughuli za uchimbaji wa madini imeongezeka kutoka asilimia 10.8 kutoka 2022 hadi asilimia 11.3 mwaka 2023, ukusanyaji wa maduhuri ya serikali uliongezela kutoka Tsh bilioni 623.2 mwaka 2021/22 na Tsh bilioni 678 kwa mwaka 2022/23 hadi Tsh bilioni 703.2 kwa mwaka 2023/24.
#SamiaTheGamechanger
#MguuKwaMguu
SERIKALI IMETOA MIKOPO YA MASHARTI NAFUU KWA VIJANA
Serikali inatoa mikopo yenye masharti nafuu kwa vijana kupitia mapato ya ndani ya Halmashauri na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana ili kuwezesha vijana kujiajiri.