Sekta ya nyumba imeanza kufufuka kwa kasi chini ya Rais Samia Mama wa Uchumi

Pumbavu
 
Kujenga majumba ni upuuzi,magufuli aliwaambia jengeni viwanda sio majumba Bado mnaakili finyu ndio maana magu anabali akili kubwa TZ. Halipo mpa bakharesa eneo ajenge kiwanda Cha sukari ata yy bakharesa alishangaa lakini Leo si hiyo sukari tunatumia Tanzania nzima naakiuza nje madoka yatakuja,Sasa ayo majumba yenu ata njombe ayafiki pia ayaleti ata Dola
 
Punguza porojo!
Kizuri chajiuza kibaya chajitembeza
 
Mkuu ChoiceVariable naomba nikuulize swali binafsi, do you even know any essence of the so callled Economics? Kwasababu kwenye bandiko lako so far bado sijaona applicabiliy ya neno uchumi kulingana na the way ulivyotafsiri wewe.
Jibu ni Wewe umeona applicability ya nini hasa?
 
Alikaa miaka 6 anaweza onyesha viwanda vi 5 tuu alivyojenga?

Majumba ni sign ya pesa maskini kama wewe na Magu hamuwezi kujenga Kwa sababu nyie ni maskini wa akili na Mali.

We can show you over 100 big plants built within just two years.

Akili kubwa ilishindwa hata dawati ya Watoto 😁😁😁😁😁
 
Haisaidii kubadili ukweli kwamba Mwendazake was a failed porojolist authoritarian
Huna tofauti na mwendazake nyani haoni kundu lake unajifanya mjuaji kama yeye na huna akili za kufikiri ni limbukeni kama yeye na ushamba tele umekujaa unaandika vitu usivyoelewa ndio hulka ya Watanzania wengi ndio sababu umasikini hautoisha Tanganyika
 
Jibu hoja toa ujinga hapa
 
Hivi unaelewa kimombo au huelewi kwani kilichoandikwa hapa ungekielewa usingefikiri kinasaidia kukutoa upumbavu wako napata shida sana na kuelewa Tanganyika kuna watu wa namna gani
Hivi unaelewa kimombo au huelewi kwani kilichoandikwa hapa ungekielewa usingefikiri kinasaidia kukutoa upumbavu wako napata shida sana na kuelewa Tanganyika kuna watu wa namna gani
Nimeokota kwenye kizibo chako
 
Maendeleo mazuri katika sekta yetu ya makazi ni jambo la kujivunia hata kama uwekezaji huu huchukua muda sana kurejesha dhamani ya uwekezaji. Rais Samia ajitahidi pia kutatua kiini cha tatizo kwasababu walio wengi wangependa kuishi kwenye nyumba zao na sio nyumba za kupanga. Kama ingewezekana, gharama za viwanja zinge thibitiwa na serikali, kodi inayotozwa kwenye vifaa vya ujenzi inge angaliwa upya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…