habar wadau wenzang, nimepitia jarida la economist nimesoma ripoti kuw tanzania katika sekta ya utalii inapoteza mapato 60% ina maan tunapat asilimia 40% tu,hizo asilimia 60%zinaend katik usafiri wa anga na tanzania hatuna ndege hata moja inamaan watalii wanaokuja tanzania wanatumia ndege za rwanda,kenya,ethiopia nakuchukua hizo asilimia 60% za mapato hii ni aibu kwa serikali ya ccm kwa kupotez mapato kizembe.wadau hili mnalionaje nawasilisha