Sekta ya utalii imeangamizwa na serikali ya ccm

Sekta ya utalii imeangamizwa na serikali ya ccm

Azim Sokoine

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2014
Posts
1,443
Reaction score
2,643
habar wadau wenzang, nimepitia jarida la economist nimesoma ripoti kuw tanzania katika sekta ya utalii inapoteza mapato 60% ina maan tunapat asilimia 40% tu,hizo asilimia 60%zinaend katik usafiri wa anga na tanzania hatuna ndege hata moja inamaan watalii wanaokuja tanzania wanatumia ndege za rwanda,kenya,ethiopia nakuchukua hizo asilimia 60% za mapato hii ni aibu kwa serikali ya ccm kwa kupotez mapato kizembe.wadau hili mnalionaje nawasilisha
 
kuna wajinga walikuwa wanasema humu kwamba mapato kupitia sekta ya utalii yamefikia 3B US$ kwa mwaka mpaka kufikia June 2014 na kuanza kumsifia rais dhaifu kabisa Chikwete eti ni jitihada zake.

Wajinga kabisa.
 
Kila kukicha ni lawama tuu za ufisadi na madudu ya kuifilisi inchi hii mi naona kwa sasa kilichobaki ni kuikumbatia hiyo serikali tatu tu na hapo ndo hapatakuwa na kulalama kwa haya mauza mauza na mezengwe ya kuiweka bond inchi hii kwa wazungu
 
Back
Top Bottom