Sekta ya Utalii Tanzania ijiandae kwa maisha ya Corona na baada ya Corona

Sekta ya Utalii Tanzania ijiandae kwa maisha ya Corona na baada ya Corona

Hadi ije ku recover itachukua mda na hivi serikali ni Kama haijachujua measures kwa corona watalii watakwepa kuja Tanzania kuogopa corona na hatua zilizochukuliwa, otherwise ili utalii urudi lazima chanjo ipatikane kwanza.

QNa nchi zinazoleta watalii wengi ka USA, ITaly zimekubwa na Corona vibaya zitakuwa zinaogopa Raia wake kuja Africa, Kenya wajanja na hizo hatia wanazochukua maana wanajua huko mbele Hali itakuwaje ime create hatua ili kuakinisha watalii na wawekezaji wengine.

Pole kwa wote waliokuwa wanategemea utalii na serikali pia ka chanzo Kikuu chakupatia feza za kigeni.
Hii corona ni nuksi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Utalii utaendea tu high season bado kuanza

Kuna Wazungu wa Nchi za scanavia na canada wenyewe wapo adcted na Tanzania yaani piga ua kwa mwaka lazima waje mara moja
Si rahisi kihivyo ndugu
 
Back
Top Bottom