BimaYaAfya
Member
- Nov 10, 2018
- 69
- 101
Sekta ya Utalii ilikuwa ni mchangiaji mkuu wa mapato ya fedha za kigeni kwa mwaka 2018 (Januari hadi Desemba 2018), Ripoti ya Benki ya Tanzania (BOT) imeelezea. Katika ripoti ya BOT ya mwezi kwa mwezi mwaka 2018 (Monthly Economic Review (MER) report), Mapato yalifikia $ 2.44 bilioni kutoka $ 2.25 bilioni zilizoingia mwaka uliopita (2017). mapato ya kusafiri (yanayoongozwa na utalii) yaliongezeka kwa sababu ya kuongezeka kwa idadi ya watalii waliofika.
Tanzania ni mahali salama kwa utalii
Tanzania ni mahali salama kwa utalii