Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 21,470
- 40,593
Kwenye mechi kati ya Mashujaa na Simba ziliongezwa dakika sita baada ya kukamilika muda wa kawaida wa dakika 90.
Ndani ya dakika 6 za mchezo Mashujaa wakawa wanapoteza muda na kusababisha Mpira kuendelea na Simba kufunga goli sekunde 47 baada ya dakika 6 zilizoongezwa. Yanga wakalalamika Sana na kusema Simba inabebwa.
Kwenye mchezo wao wa Jana na Azam, baada ya muda wa kawaida kuisha ziliongezwa dakika 7.
Lakini Mpira ulichezwa kwa dakika 10 na sekunde kadhaa. Maana yake Mpira ulichezwa zaidi ya dakika 3 na sekunde kadhaa toka dakika 7 zilizoongezwa.
Kwenye hizo dakika 3 zilizozidi sijasikia Yanga wakilalamika kuwa mchezo ulichezwa zaidi ya muda ulioongezwa, wala hizo dakika 3 hazikuwasaidia wao kusawazisha goli au Azam kuongeza goli.
Sasa kati ya sekunde 47 zilizozidi kwenye gemu ya Simba na Mashujaa, na dakika 3 na sekunde kadhaa kwenye mechi yao na Azam, zipi nyingi?
Kama zile sekunde 47 zilizozidi ndiyo ziliifanya Simba iifunge Mashujaa lile goli, kwa nini wao dakika 3 nzima hazikuwasaidia kusawazisha goli walilofungwa na Azam?