Sekunde ya 10 kwa Mchungaji Gwajima

Sekunde ya 10 kwa Mchungaji Gwajima

Aneel munawar

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2017
Posts
4,580
Reaction score
8,141
Kuhusu lile treni letu mkuu..au ulimaanisha treni la kwenye betting....pia ma guru na magwiji wa mambo mbalimbali..

Mnieleweshe sekunde ya 10 weka pause(mkono wa kulia)kwenye hii video kiongozi wetu alimaanisha nini....kwamba nae ndio walewale...maana hiyo mano carnuto haijajileta yenyewe

Naomba nisibinywe mbupu wakuu ..wazee wa door to door ulipo tupo

 
Yaani hili jani likiwa bichi laonekana la kijani na likikaushwa bado rangi yake ni ya kijani hili jani hili ni khataareee weka mbali na watoto aarifuu
 
Back
Top Bottom