johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Wamesema Huwezi kuitofautisha Chadema na CCM kwa sasa!Hakuna chama kati ya hivyo cha kushindana na Chadema
Chadema ni ccm BHakuna chama kati ya hivyo cha kushindana na Chadema
Nadhani wanamaanisha kwa ukubwaWamesema Huwezi kuitofautisha Chadema na CCM kwa sasa!
Chadema imeshaungana na CCM vyama vingine itavikuta huko huko!Katika kosa CDM walifanya mwaka 2015 ni kumpokea Lowassa na kumpa nafasi ya kugombea urais, na juu ya kosa hilo ni kukubali kuungana na vyama vingine vya upinzani. Jambo lile ilikuwa ni kama kufaidisha vyama vingine vilivyokuwa kwenye ukawa, bila vyama hivyo kuwa vimefanya kazi ya kuvuta wapiga kura.
CDM isikosee tena kuungana na vyama vingine, ama kutoa nafasi za kigombea kutoka kwa mtu yoyote ambaye hakuwa mwanachama wa CDM, muda mfupi kabla ya uchaguzi. Kila chama kishinde mechi zake, maana hii miungano inatumika kuchafuana, kutengenezea usaliti na uhasama usio na tija.
Chadema imeshaungana na CCM vyama vingine itavikuta huko huko!
Ndio, CCM ni Chama kikubwa Sana!Nadhani wanamaanisha kwa ukubwa
Ila ww chizi sana.Wamesema Huwezi kuitofautisha Chadema na CCM kwa sasa!
🤩Ila ww chizi sana.
Siasa nayo ni kaziFanyeni kazi aachaneni kuwafatilia hao wanasiasa ehhh
Ova
Hilo umetunga mwenyewe sasa hivi!!Wamesema Huwezi kuitofautisha Chadema na CCM kwa sasa!
Basi wameshashindwa hapo ikifika 25/10/2025 saa 8:30am kabla ya sadaka ya ibada ya pili watakuwa wameshakubali yaisheWamesema Huwezi kuitofautisha Chadema na CCM kwa sasa!
Mbona mlipozuia mikutano kwa miaka 7 ulikuwa husemi kama kazi za watu zimezuiliwa!!??Siasa nayo ni kazi
Huo ni ukweli mtupu. Niko Kalambo mpakani na Zambia, Chadema ndo pekee yenye wenyeviti wa vitongoji.Hakuna chama kati ya hivyo cha kushindana na Chadema
Bado mna hamu na Damu za Watanzania?. Tuacheni tupumue Wajamani. Kuokota nduguyo kwenye Kiroba inauma sana.Wamesema Huwezi kuitofautisha Chadema na CCM kwa sasa!