Selasini asema CHADEMA iliviua vyama vingine 2015, Zitto asema ACT Wazalendo haifanyi siasa za kuachiana Majimbo

Baada ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kusema Chama Chake hakihitaji ushurikiano au Muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe

Mh Selasini wa Nccr mageuzi amesema 2015 Chadema kupitia UKAWA ulikuwa na mkakati wa kuviuwa vyama vingine vya upinzani na ilifanikiwa kuidhoofisha Nccr mageuzi na CUF

Selasini amesema kamwe hawatarudia makosa ya kushirikiana na Chadema katika jambo lolote

Naye KC Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Chama Chake kinafanya Siasa za nchi nzima na siyo Siasa nyepesi za kuachiana Majimbo

Mengi utayakuta Mwananchi

Ngoma Inogile!
Atuambie ilikuwaje akamtimua Mbatia NCCR akiwa mwanachama mgeni kutoka CDM,

Hii ya kuuwa vyama vingine nae alishiriki kwani alikuwa Mbunge wa Rombo kupitia CDM

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Kama CHADEMA iliviua NCCR-Mageuzi na CUF na yenyewe ikashindikana kuuawa na CCM, basi CHADEMA ni chama Imara sana!!
 
Baada ya mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe kusema Chama Chake hakihitaji ushurikiano au Muungano na vyama vingine vya upinzani baadhi ya viongozi wa upinzani wamemshukia kama mwewe

Mh Selasini wa Nccr mageuzi amesema 2015 Chadema kupitia UKAWA ulikuwa na mkakati wa kuviuwa vyama vingine vya upinzani na ilifanikiwa kuidhoofisha Nccr mageuzi na CUF

Selasini amesema kamwe hawatarudia makosa ya kushirikiana na Chadema katika jambo lolote

Naye KC Zitto Kabwe wa ACT Wazalendo amesema Chama Chake kinafanya Siasa za nchi nzima na siyo Siasa nyepesi za kuachiana Majimbo

Mengi utayakuta Mwananchi

Ngoma Inogile!
Hivyo siyo vyama ni vikundi vya wahuni
 
Unajichetua!!? Kama imekufa inakuwaje leo inakaa meza moja na CCM (Peke yao) kufanya maridhiano!!??
Hata Yakobo ( Israel) alikuwa na vikao viwili
Kimoja anakaa na Watoto wake wa kiume 12

Na kingine anakaa na binti yake

Hii ni kanuni muhimu Sana kwenye Utawala
 
Unaweza kukaa kujadili jambo na marehemu!!? Kama CHADEMA imekufa kilichompeleka Samia Moshi kilikuwa nini?? Hebu tuupeni utukufu wa Mungu heshima kwa kutuumba sisi binadamu na siyo Punda kwa kutumia akili zetu japo kwa sekunde moja tu!!
 
Nadhani cha kushangaa ni kilichompeleka Mbowe kwenye Kongamano la Wanawake!
 
Back
Top Bottom