Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mzee KM 50?Siasa bwana. Hii NCCR hii,, Tumewahi sukuma gari/shangingi ya Mrema ikiwa silencer kwa umbali kama Km 50 hivi.. tukiwa vijana enzi hizo. Watu kibao mzee π
Kweli Mrema alijua kucheza na akili zetu. Nikisikiaga neno NCCR-Mageuzi waga nakumbuka mbali na kufikiria mengi sana.π gone are the days
Mzee KM 50?
Mlikuwa na passion sana na mabadilikoMakadirio, tulimpokea toka kijijini mpaka mjini kwenye mkutano. Nahisi inaweza kuwa KM 20 au 15Km.