Selasini: Ni aibu kwa mwenyekiti wa Chama cha Siasa kukaa madarakani kwa miaka 20, mnawanyima Vijana fursa za Uongozi

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Makamu mwenyekiti wa NCCR mzee Selasini amesema ni ajbu kwa Kiongozi wa chama cha Siasa kukaa madarakani kwa miaka 20 na zaidi kwani ni kuwanyima Vijana fursa za Uongozi

Mbatia aliwafukuza mzee Mrema na David Kafulila sasa iweje nongwa yeye kuondolewa? Ameuliza Selasini wakati akiongea na Waandishi wa Habari mjini Dodoma

Selasini ameonya vyama vya Upinzani Kuacha kuwasingizia CCM na Usalama kwenye mgogoro huo kwani hayo ni mambo ya NCCR wenyewe
 
Nimeipendaje hiyo
 
Back
Top Bottom